Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Babu yako Umri umenitupa Mkono Mjukuu 🙈.

Hapa nina picha ya first born wangu tulipiga miaka Ile tunaanza shughuli zetu za Uvuvi ziwani🤪
View attachment 2464758
Awwwwwwwwwww First Born anaonekana yuko hoooooottttt 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 babuuu ana swagger wanazopenda kina cocastic !
Wigelekelo Carrasco putin wahini hukuu muone First Born wa zee lenu la mchongo dogo lamotrooooooo😍😍😍😍😍!

Kweli hii funga mwakaa!
Wabheja sana babu!✌️
 
Wakuu wangu,

Mkawe na 2023 ile yenyewe kabisa, mafanikio katika kila mnachofanya kwa wema,
afya njema kabisa,
wenye kutaka wake mkapate,
wenye wahitaji wa waume mkapate, wenye kuhitaji watoto mkapate,
sisi tunaotaka pesa tuzidi kuzipata.

Zaidi sana, tuzidi kuhusiana kwa upendo. Niliyemkosea basi aniwie radhi sana voz mimi hata sio mgomvi🤣

Love you wote "wana-mapichapicha"
Aminaa kubwaaaaaaaaaaa wa Vipaji nakwako pia uwe na mwaka mpya 2023 mwema sana kwako na watu wako woteeee!!
ERoni nawewe funga mwakaa kwa naked kweri kweri basiiiii!!
 
Asante madam, nimekuchokoza zana na zile CC but always calm wala hujamind, mfano mzuri sana wewe. Upate kila moyo wako unachotamani kupata kwa wema.
Usiwaze kabesaa rafikiiii this is just a social network with lots of fake life Hakuna sababu ya kukompliketi maisha yahumu kiivo kujiumiza moyo kwa sababu za kiwaki tu!!

Ubarikiwe sana rafiki Heri ya mwaka mpya 2023 once aaageeeiinn!✌️✌️✌️✌️
 
Wakuu wangu,

Mkawe na 2023 ile yenyewe kabisa, mafanikio katika kila mnachofanya kwa wema,
afya njema kabisa,
wenye kutaka wake mkapate,
wenye wahitaji wa waume mkapate, wenye kuhitaji watoto mkapate,
sisi tunaotaka pesa tuzidi kuzipata.

Zaidi sana, tuzidi kuhusiana kwa upendo. Niliyemkosea basi aniwie radhi sana voz mimi hata sio mgomvi

Love you wote "wana-mapichapicha"
Mimi nimekusamehe kabisaa nimekusamehe kutoka kwenye Uvungu wa roho kabisaa maana kuna pande moja ulipaswa uconnect


Ila Yule pela.... Sijamsamehe
 
Kijana mdogo unajita babu?🤣
Heri ya mwaka mpya chief !
Shangaa Nawewe wa Vipaji kumbe yanki tu anatuzuga eti babu lol kumbe Selfika tuna watu mahendsamu balaa humu Hakyanani uwiiiiiii!!
Haya nawee fanya wepesi tubarikiwe sie Best
 
Shangaa Nawewe wa Vipaji kumbe yanki tu anatuzuga eti babu lol kumbe Selfika tuna watu mahendsamu balaa humu Hakyanani uwiiiiiii!!
Haya nawee fanya wepesi tubarikiwe sie Best
Ngoja nichungulie kwa gallery hapa chap!!
 
Back
Top Bottom