Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wakuu wangu,

Mkawe na 2023 ile yenyewe kabisa, mafanikio katika kila mnachofanya kwa wema,
afya njema kabisa,
wenye kutaka wake mkapate,
wenye wahitaji wa waume mkapate, wenye kuhitaji watoto mkapate,
sisi tunaotaka pesa tuzidi kuzipata.

Zaidi sana, tuzidi kuhusiana kwa upendo. Niliyemkosea basi aniwie radhi sana voz mimi hata sio mgomvi

Love you wote "wana-mapichapicha"
Ikawe heri kwako blaza
Huna baya

Tuliokoseana mwaka huu, nawaambia picha mbichi hii.
Mwakani tunaendelea tulipoishia.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
..
Screenshot_2022-12-31-21-13-06-776_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Kwahiyo wao panya wewe paka si ndiosafi

Wige kiukweli haipendezi kumtaja mtu bila sababu ya uhakika si Kwa sababu yangu…hapana ni Kwa sababu yao na wanaowazunguka hapa Jf..ninaimani kiutuuzima umeelewa.

Kuna watu wana wake humu na ninahamiana nao nje ya jf na tunawasiliana nao nje ya hapa so ikitokea umeandika kitu ambacho hauna uhakika nacho..huleta ukakasi nje ya jf.

Naimani wewe ni kaka mkubwa utanielewa kiutuuzima.

Nikutakie mwaka mpya mwema wenye mafanikio ndugu yangu
Matani yakizidi hukera
Mzaha hutumbua.....

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Nami napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaselfika wote kwa kuwa pamoja since day one hapa selfika!
Mmekuwa si tu ndugu jamaa bali rafiki wa karibu sana kwangu na kushirikiana katika mambo mengi sana hapa!

Nilifurahii sana kuona tumefurahi tukacheka kushauriana na kujaliana hali kwa namna moja ama nyingine as selfika family mbarikiwe sana!
Sote ni binadamu Hakuna mkamilifu so popote tulipokwazana au kutofautiana kwa namna moja ama nyingine tusameheane bure bila kujali nilikukosea au ulinikosea!

Hakuna sababu ya kukaa na vinyongo wala kuchukiana wapendwa binafsi sina kinyongo moyo mweupe kabisa kwa yeyote tulietofautiana kwa mazingira mbali mbali hapa!
Yaliyopita si ndwele wapendwa tugange yajayo!

As selfika family Inapendeza sana tukikaa pamoja kwa umoja tukifurahi pamoja!
Nawatakia kheri ya mwaka mpya 2023 ukawe mwaka wa baraka furaha amani mafanikio afya na uzima telee wapendwa na Mungu awabariki!!

Special Thanks to you all guys!!✌️✌️

Kisses😘😘😘
 
Back
Top Bottom