Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,274
Santo sana kwa kutubless mkuuuu hakika selfika imebarikiwa sanaaaa!!!✌️✌️✌️✌️!

Nami napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaselfika wote kwa kuwa pamoja since day one hapa selfika!
Mmekuwa si tu ndugu jamaa bali rafiki wa karibu sana kwangu na kushirikiana katika mambo mengi sana hapa! Nilifurahii sana kuona
Tumefurahi Tukacheka kushauriana na kujaliana hali kwa namna moja ama nyingine as selfika family!
Sote ni binadamu Hakuna mkamilifu so popote tulipokwazana au kutofautiana kwa namna moja ama nyingine tusameheane bure bila kujali nilikukosea au ulinikosea! Hakuna sababu ya kukaa na vinyongo wala kuchukiana wapendwa binafsi sina kinyongo moyo mweupe kabisa kwa yeyote tulietofautiana kwa mazingira mbali mbali hapa!
Yaliyopita si ndwele wapendwa tugange yajayo!
As selfika family Inapendeza sana tukikaa pamoja kwa umoja tukifurahi pamoja!
Nawatakia kheri ya mwaka mpya 2023 ukawe mwaka wa baraka furaha amani mafanikio afya na uzima telee wapendwa na Mungu awabariki!!
Special Thanks to you all guys!!
Kisses![]()

One loveNami napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaselfika wote kwa kuwa pamoja since day one hapa selfika!
Mmekuwa si tu ndugu jamaa bali rafiki wa karibu sana kwangu na kushirikiana katika mambo mengi sana hapa! Nilifurahii sana kuona
Tumefurahi Tukacheka kushauriana na kujaliana hali kwa namna moja ama nyingine as selfika family!
Sote ni binadamu Hakuna mkamilifu so popote tulipokwazana au kutofautiana kwa namna moja ama nyingine tusameheane bure bila kujali nilikukosea au ulinikosea! Hakuna sababu ya kukaa na vinyongo wala kuchukiana wapendwa binafsi sina kinyongo moyo mweupe kabisa kwa yeyote tulietofautiana kwa mazingira mbali mbali hapa!
Yaliyopita si ndwele wapendwa tugange yajayo!
As selfika family Inapendeza sana tukikaa pamoja kwa umoja tukifurahi pamoja!
Nawatakia kheri ya mwaka mpya 2023 ukawe mwaka wa baraka furaha amani mafanikio afya na uzima telee wapendwa na Mungu awabariki!!
Special Thanks to you all guys!!
Kisses![]()
Santo sana mkuu! ✌️One love
Kwa hio ukaona ufute na kapicha kabisaNami napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaselfika wote kwa kuwa pamoja since day one hapa selfika!
Mmekuwa si tu ndugu jamaa bali rafiki wa karibu sana kwangu na kushirikiana katika mambo mengi sana hapa! Nilifurahii sana kuona
Tumefurahi Tukacheka kushauriana na kujaliana hali kwa namna moja ama nyingine as selfika family!
Sote ni binadamu Hakuna mkamilifu so popote tulipokwazana au kutofautiana kwa namna moja ama nyingine tusameheane bure bila kujali nilikukosea au ulinikosea! Hakuna sababu ya kukaa na vinyongo wala kuchukiana wapendwa binafsi sina kinyongo moyo mweupe kabisa kwa yeyote tulietofautiana kwa mazingira mbali mbali hapa!
Yaliyopita si ndwele wapendwa tugange yajayo!
As selfika family Inapendeza sana tukikaa pamoja kwa umoja tukifurahi pamoja!
Nawatakia kheri ya mwaka mpya 2023 ukawe mwaka wa baraka furaha amani mafanikio afya na uzima telee wapendwa na Mungu awabariki!!
Special Thanks to you all guys!!
Kisses![]()
Mbona ipoKwa hio ukaona ufute na kapicha kabisa
Nikajua umefuta banaMbona ipo
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee💃💃!Mwaka 2023 ukawe ni wenye baraka tele kwa wanajumuia wote humuView attachment 2464788
Umeanza siasa lini wa vipaji lakini??? Angalia angalia vizuri bana tena pita nakedddd kabisa!!Madam naangalia hapa naona picha nimepiga na watu tu, yangu ya kivyangu hakunaa, ngoja mwaka upinduke tupige selfie za kwenda!
Weka ya rangiNami napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaselfika wote kwa kuwa pamoja since day one hapa selfika!
Mmekuwa si tu ndugu jamaa bali rafiki wa karibu sana kwangu na kushirikiana katika mambo mengi sana hapa! Nilifurahii sana kuona
Tumefurahi Tukacheka kushauriana na kujaliana hali kwa namna moja ama nyingine as selfika family!
Sote ni binadamu Hakuna mkamilifu so popote tulipokwazana au kutofautiana kwa namna moja ama nyingine tusameheane bure bila kujali nilikukosea au ulinikosea! Hakuna sababu ya kukaa na vinyongo wala kuchukiana wapendwa binafsi sina kinyongo moyo mweupe kabisa kwa yeyote tulietofautiana kwa mazingira mbali mbali hapa!
Yaliyopita si ndwele wapendwa tugange yajayo!
As selfika family Inapendeza sana tukikaa pamoja kwa umoja tukifurahi pamoja!
Nawatakia kheri ya mwaka mpya 2023 ukawe mwaka wa baraka furaha amani mafanikio afya na uzima telee wapendwa na Mungu awabariki!!
Special Thanks to you all guys!!
Kisses![]()
Tunafunga mwaka kwa furaha na tutauanza mwaka mpya kwa furaha vile vileIiiigggweeeeeeeeeeeeeeee!
Leo full ma selfii kwakwenda mbereeeee!!
Wabheja sana hakika mwaka unaenda kuwa mzureee sana kwa wana selfika!!![]()
Sisamehi Mimi paka niuone mwaka 23.Nami napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaselfika wote kwa kuwa pamoja since day one hapa selfika!
Mmekuwa si tu ndugu jamaa bali rafiki wa karibu sana kwangu na kushirikiana katika mambo mengi sana hapa! Nilifurahii sana kuona tumefurahi tukacheka kushauriana na kujaliana hali kwa namna moja ama nyingine as selfika family mbarikiwe sana!
Sote ni binadamu Hakuna mkamilifu so popote tulipokwazana au kutofautiana kwa namna moja ama nyingine tusameheane bure bila kujali nilikukosea au ulinikosea! Hakuna sababu ya kukaa na vinyongo wala kuchukiana wapendwa binafsi sina kinyongo moyo mweupe kabisa kwa yeyote tulietofautiana kwa mazingira mbali mbali hapa!
Yaliyopita si ndwele wapendwa tugange yajayo!
As selfika family Inapendeza sana tukikaa pamoja kwa umoja tukifurahi pamoja!
Nawatakia kheri ya mwaka mpya 2023 ukawe mwaka wa baraka furaha amani mafanikio afya na uzima telee wapendwa na Mungu awabariki!!
Special Thanks to you all guys!!
Kisses![]()
Ndrrriiioooo ndrrriiioooo mkuu!!! Tupieni vitru tupieni vitru tufuraheeeeee kufunga na kuanza mwaka vizureee kabesaaa!Tunafunga mwaka kwa furaha na tutauanza mwaka mpya kwa furaha vile vile
Mtakufa na sukari na pressureKwamba wenye vikalio vidogo tuko hatarini![]()
Kabisaaaa. Kabisaaaa.Santo sana kwa kutubless mkuuuu hakika selfika imebarikiwa sanaaaa!!!!
🤣🤣🤣🤣🤣Mungu ni mwema tutauonaaa soteee !!Sisamehi Mimi paka niuone mwaka 23.
Mkorogo ili nigundue nini wigeee! Hiohio yatoshaa😁😁!!Weka ya rangi
Hii haipendezi
Ama unatumia mkorogo?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Kheri ya Mwaka mpya kwako pia Chief 🥂Kijana mdogo unajita babu?🤣
Heri ya mwaka mpya chief !