Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,960
- 136,790
Unataka nini??Kila nikitaka view avatar yako haifunguki eti!!
!
Unataka nini??Kila nikitaka view avatar yako haifunguki eti!!
Weee yaani niombe mie af nikugee wewe?Bhasi iombe tuongezee mafuta hapa ili nikupe lifti
Habari ya mimi njema/salama kabisa mpendwa
Asante mkuu nakwako pia!
kukuonaUnataka nini??
!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Bwana mwenyewe sasa.....🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!una ambiwa mjep hana sauti kila nikisema ana tii, eti huwa namzuia asi comment jf ndo maan anakuaga kmyaa.
Yaan JF uwiiiih.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuja mwanamkeee
Selfika tuone kigodoro



akiwa haeleweki ni kazi bure 😅
Hivyo vikoti huwa tunavaa tukiwa shambani Mjukuu 🙈Helloowww babuu!! ✋!!
Ndio waelekea shamba Na hivo vikoti vya wavuvi sijui waokozi wa majini sijui matrafki/ wajenga barabara kwelii shamba na gari babuu??!
Msamiliieee sanaaaa bibietu mpendwa! Mwambie nilitingwa kidogo ila next week ntakua hapoo nimalizie masalia ya Sikukuu!
Kilimo chema babuu!✌️✌️
duh kuna mambo humujana usiku kaja PM mtu na heshima zake, ndo anaanza kuniambia hayooo maraa ooh niwe makini ntapata ukimwi na magonjwa ya zinaa,.
Nabaki kushaangaaa wanaume gan wa JF ambao mie nadate nao, jibu sipatii, mara tume inaundwaaaa kwa ajiri yanguu. Khaaah
Nasema waje na vyeti halali vya ndoa, sita deal na michepuko mie.
Watu wanakopwaaaa mbususu na ahadi za kujengewa, mara iphone13 ,wengine had wanapigwa mtungo, hasiraa wanaletaa kwangu, mie ndo nawatumaga?
Wanitueeee kabisaaa, ndo nasubiriiii hapaaa wakujeeeeeee. Km wao ni makahabaa wazoefu, mie ni malayaa niliye kubuhuuuu. Na ntawajuza km kachumbali ni mbogaa au kiungo cha wali, na watafahamu km penalty ni mpira wa adhabu au dharuraaa, mxxxxieeeeeeeeew
Wanipumzisheeee kwan khaaaaaah,
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu Mjukuu, ingawa uelekeo ni shambani hivyo🤗Babu naomba lift
Niolewe mara ngapi mie?????
Harusi ya workmate!!
Kulima nitajitahidi hivyo hivyo japo sijalima kitambo adi nimeanza kusahau.Karibu Mjukuu, ingawa uelekeo ni shambani hivyo🤗
Utaweza kunisaidia Kulima lakini?
Nkamu mimi sihusiki kabisa hapa🤣Nkamu unagombaniwa mbona sielewi
Wakilisha mkoa vizuri Kaka angu
Uzuri kaka zetu huwa hamtuangushi![]()
Ndiyo maana huwa namwambia Bibi yenu awe anawaita hata Wakati wa Palizi tu, mnaishi Mjini hadi mnasahau Jembe 🤪Kulima nitajitahidi hivyo hivyo japo sijalima kitambo adi nimeanza kusahau.
Si utanielekeza babu
Babu tutakua tunakuja basi mara nyingi nyingiNdiyo maana huwa namwambia Bibi yenu awe anawaita hata Wakati wa Palizi tu, mnaishi Mjini hadi mnasahau Jembe 🤪
Usijali nitakuelekeza kulima, Palizi pamoja na Kuvuna 🤗
Karibu Mjukuu, ingawa uelekeo ni shambani hivyo
Utaweza kunisaidia Kulima lakini?



