Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

JamiiForums2055114859.jpg
 
Aunt mimi sina cha kunifanya nigombaniwe
Ela sina.......
Wala siyo Tall Dark Uchebe........
Nitagombewa na nani tena aunt

Nina mpango wa kuingia msituni kukugombania wewe maana naona huyu Poker na ERoni wanataka kunizidi kete
Mkuu,
Naungana na wewe, sina pesa, sio tall wala dark, sina mvuto ila nina UCHEBE, sasa huyo sophy27 atanitaka kwa lipi.
 
Wewe si una kazi za watu hapo na mtoto anakusubiri kubembeleza😂😂
Mtoto wenyewe nilotelekezewa 🤣🤣
Sema mtoto wangu mzuri sana
Hapana chezea kuzaa na mzungu 😂😂😂


Hii kazi haifanyiki, nilichoweza ni kuwasha tu PC
 
Back
Top Bottom