Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

im happy for you
mambo hayo
Mungu ni mwema ...
Thank you kipenzi.. 😘😘
Kuna wanaume ni waelewa hadi raha nakwambia!!
Hawanaga mbambambaa maswali wala maelezooo mengi wala neneeeee !!
I'm happy for him and blessed to have him dear Mungu ambariki kila kitu chake kazini nyumbani barabarani uzao wake nahata vitukuu na vijukuu vyake mamyy!! He's one in a million!!!
 
Wezi sioo kabisaaa!!!

Nishaongea na sweetdaddie akee auuuweeeeeehhh Jmos naenda shopping miyeeee!! Watruu na vibabu vyeeiiiituuuuu wwweeeeuuuweeehhh!!!!!!!
Naona unakanywesha Viagra na kukapakaza mkongo dust

Hako kazee Ili kakumwage maji

Ili mambo yako yaende katakuja kukufia kifuani

Halafu uanzishe siredi ya kulialia hapa

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Thank you kipenzi.. 😘😘
Kuna wanaume ni waelewa hadi raha nakwambia!!
Hawanaga mbambambaa maswali wala maelezooo mengi wala neneeeee !!
I'm happy for him and blessed to have him dear Mungu ambariki kila kitu chake kazini nyumbani barabarani uzao wake nahata vitukuu na vijukuu vyake mamyy!! He's one in a million!!!
hongera dear umepata mume mwema .. uzidi kumpenda , kumtii na kumuombea hivyo .
what a loving man ....

nawaombea kila la kheri ...
 
Thank you kipenzi.. 😘😘
Kuna wanaume ni waelewa hadi raha nakwambia!!
Hawanaga mbambambaa maswali wala maelezooo mengi wala neneeeee !!
I'm happy for him and blessed to have him dear Mungu ambariki kila kitu chake kazini nyumbani barabarani uzao wake nahata vitukuu na vijukuu vyake mamyy!! He's one in a million!!!
wanaume waelewa hivyo ni wachache sana .
mshikilie hivyo hivyo na umpe yote .
 
Naona unakanywesha Viagra na kukapakaza mkongo dust

Hako kazee Ili kakumwage maji

Ili mambo yako yaende katakuja kukufia kifuani

Halafu uanzishe siredi ya kulialia hapa

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!

Mzee mtabe mafia ninja sana huyu Anatroooooo balaaaa😁😁😁😁👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋!!

Badaeeeeeee!!🤣
 
Back
Top Bottom