Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ushamfilisi jamani ndiyo maana vocha hatupii[emoji2815],jamani dhambi na alivyompole si unampeleka mswebemswebe mtoto wa mama mkwe wako[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una ambiwa mjep hana sauti kila nikisema ana tii, eti huwa namzuia asi comment jf ndo maan anakuaga kmyaa.

Yaan JF uwiiiih.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mbna anatambulikaaaaa, kuwa ni wangu ila aliniachaa Golden Tulip Zanzibar, had pesa ikakata nikaombaa msaadaa kwa manager nirud Dar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mara namgandaaa yeye hanitakiii, mie namgandaaa na nmemfilisi pesaa zakee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mjep mume wanguuu ukujeeee hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuja mwanamkeee
Selfika tuone kigodoro
 
kuhusu kuundiwa tume, kuna jamaa siku hyo akasema kiutan ktk uzi fulan hv, mie malayaa naiba mabwana wa watu, nkapotezeaa nkahis utan, mara ya pili mtu mwingne tena ktk uzi akasemajee wee una dawa kila mtu unae mfataa anakukubalia na kukuhongaa pesa ndefu, [emoji23][emoji23][emoji23] nkahis utan pia, ya 3 mdada akanifata pm kuniambia hvyo tena na kuhusu tume kuundwan

Kubwa Jan usiku ID ya heshima ikanifataa na kunieleza niache umalayaa ntapata ukimwi, na magonjwa ya zinaa, aananitetea kwaa kua mie bado mdogo, ndo akanambia na tume inaundwaaa kunishambulia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni tafrani tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaelekea huko Pm watu wanamagroup ya kupashana mambo,

Aisee hadi nimechoka mweeeh


Eeeeh umesikia we potezea coz hawakujui na hauna shida ya kuwajua,kaa kimya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una ambiwa mjep hana sauti kila nikisema ana tii, eti huwa namzuia asi comment jf ndo maan anakuaga kmyaa.

Yaan JF uwiiiih.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kumbe[emoji23]

Anapoteaga humu kumbe wanapiga pini[emoji3470]dadeq

Wacha niendelee kula kimbondi mie[emoji2440][emoji2440][emoj
 

Attachments

  • IMG_20221228_212752~2.jpg
    IMG_20221228_212752~2.jpg
    85 KB · Views: 6
Sio mabwana wala wenye mabwanaaa, ila wenye mabwana wanaunda tumee kutaka kunichambaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa sijui mabwana zao ndo wanawaambia mie nawasumbua, akat hata sijawahi kuongea nao. Mweeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila JF kuna muda kuna vituko[emoji1787][emoji1787][emoji23]

hivi maisha ya kugombania Wanaume bado yapo daah[emoji1544]
 
Back
Top Bottom