Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naombaaa kimbondiiiiii nimepataaa mateee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha karanga hicho,kila siku lazima ninunue mweeeeh

Hii kitu tamu
IMG_20221229_162512.jpg
 
Kwa namna mvua zinavyonyesha hatuna budi kuwahi shambani💪

Hello Thursday 🥂
Helloowww babuu!! ✋!!
Ndio waelekea shamba Na hivo vikoti vya wavuvi sijui waokozi wa majini sijui matrafki/ wajenga barabara kwelii shamba na gari babuu??!
Msamiliieee sanaaaa bibietu mpendwa! Mwambie nilitingwa kidogo ila next week ntakua hapoo nimalizie masalia ya Sikukuu!

Kilimo chema babuu!✌️✌️
 
Back
Top Bottom