Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Karibuni maji
IMG-20221225-WA0022.jpg
 
Vitu vya Sebuleni kama Tv et all Magodoro wawili jiko la gesi lile kubwa king'amuzi na vikolokolo Vingine kugundua hadi niwepo mwenyewe!!

Wasije tu kuwa wamemeba documents Zangu vyeti. n.k nitawehuka mbona!
Pole
 
Pole sana madam,
Hukuacha mlinzi nyumbani?
 
Back
Top Bottom