Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,305
🤣🤣🤣🤣🤣!!
Wamezinguaaa
🤣🤣🤣🤣🤣!!
Tayariiii, navaa wigi sasaHujamaliza kuvaa tumekuacha
Unawaambia wenzio wake kufurahi,we mwenyewe unakimbia.Relaxxxiniii bana everything gonna be oooukeeeeeyyyy in Satoh Hirosh voice !!
Nendeni mkafurahi pamoja!!![]()

Unaonyesha siyo mtu wa mitoko.nitashangaa hadi nitaondoka
Mie sipo Dar Dokta!!Unawaambia wenzio wake kufurahi,we mwenyewe unakimbia.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Yeaah si sana
Sauti hekima.Take it easy mjukuu...mambo hayako complicated kihivyo. Kwa sisi wazee tumeona mengi sana na hakuna cha kutubabaisha tena. Hata leo hii nikienda hospitali nikaambiwe nina terminal disease au sijui Mama E kaamua kunipiga chini ni poa tu yaani...
Usijipe shobo kwenye maisha ya watu. Jua nafasi yako kwao na chukua tahadhari...yaani linda moyo wako!
Cheza kwa kufuatisha mdundo wa ngoma ya maisha yako na yao...
Wakionyesha dalili za kutojali wewe weka skweadi kabisa ili muende sawa!
Maisha yako ni yako na uko responsible kwa asilimia 100%. Usilaumu mtu!
Hakuna mtu mwingine aliyezaliwa hapa duniani ili aje kukupa furaha, kukusaidia na kukupa mafanikio. Huo ni wajibu wako 100%
Usitegemee cho chote kutoka kwa mtu ye yote na always tambua kwamba binadamu ye yote yuko capable kufanya cho chote kwa wakati wo wote bila kujali kama ni mzazi, ndugu, mwenza......
Homo Sapiens...kiumbe mtata huyu asiyeeleweka...leo anakujali na kukuthamini sana na kesho ushageuka adui.
Maisha - safari ya mzunguko wa mumo kwa mumo iliyojaa mapambano ya bandia yenye hatihati na unafiki mwingi....
Take it easy...
Zingatia!
Si ndioNa mawigi tena 😳🙆♀️
Usije na sisi
Hiki ni chakula maarufu sana pande za Zambia. Hawa jamaa wanapatikana sokoni sawa na dagaa wa kawaida.
Haha! Umekumbuka wapi mkuu. Ushawi piga iyo mixture. Shamba ndo maisha yetu hayo.
Kitu kipyaaaaa😋😋😋
🤣🤣🤣🤣Kitu kipyaaaaa😋😋😋
Hahaha bana usiende, fanya lile jambo lingine af chenji nirushie nikutunzie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Niko njia panda
Usinitingishe em
Vijana wenu wamerudisha ripotiView attachment 2455693
Kumbe unaweza kutohitaji Motivation speakers kuweza kuku influence kufikia malengo🤔
Wacha tujipange kwa 2023 kama Mungu atatupa Uhai 🙏
Guys it's Friday 🥂🤗🤸
😂😂😂😂 aki nikiendaaaaaaa🤣🤣🤣
You will suffer nakwambia