Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hongereni japo najua hujalima wew😂😂😂
Baada ya kumaliza parizi ya shamba.

Kama kawaida yetu nikipata chai na ugali.

Screenshot_20221223-103934~2.png
 
kumbe upo charming eeh
mimi inategemea .. hadi nikuzoee na kuchekea .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie inategemea tumekutana wapi? Ukianza kunichangamkia mie sichelewi kuchangamka pia.

Pia sinaga shobo kwa pasipo stahili, wengi hawajawahi nielewaa, maana kubadilika n dkk 0.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom