Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Huyu ni mdudu ama?.kula hapa tena ni mpaka kesho.karibun wote.kipenzi mtu chake karibuView attachment 2455889
Huyu ni mdudu ama?.kula hapa tena ni mpaka kesho.karibun wote.kipenzi mtu chake karibuView attachment 2455889
Namie Naomba mbunu nifikie malengo babuuu!!View attachment 2455693
Kumbe unaweza kutohitaji Motivation speakers kuweza kuku influence kufikia malengo🤔
Wacha tujipange kwa 2023 kama Mungu atatupa Uhai 🙏
Guys it's Friday 🥂🤗🤸
Inashangaza eeeh!?Anashiba Nini Sasa
Ushaitwa kipenzi
Jiongeze mjeda
Unakwama wapi?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Unakoelekea sikoNaomba mbunu nifikie malengo babuuu!!
Nimeshiba na nimeshindwa kumalizia.kitu ambayo sishibagi ni mbogakipenzi ahsante,hapo unashiba ?
Hao wadudu kama minyooo Hapana msukuma 🙌😳😳😳😳?????Ukifika Dar next week nitafute Bosi Ledi nikupeleke chimbo moja huku Sinza wanakopatikana. Ni watamu hatari! 😁😁🖐
Yes ni mduduHuyu ni mdudu ama?
Inashangaza eeeh!?
Umeitwa kipenzi
Umekaribishwa mlo
Si uende UKALE? ndiyo ule?

Haya. Kuna chimbo moja la mdudu hapa Sinza liko poa ntakupeleka....Hao wadudu kama minyooo Hapana msukuma 🙌😳😳😳😳?????
Ningependa nikale mdudu miyee!!
nipo mpk mida mibovuSasa kigugumizi Cha Nini
Ngoja niite Yango duh
Kumbe huku ni Uber chap
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Kipi cha kushangaza hapo nilipoita mpenzi?Inashangaza eeeh!?
Umeitwa kipenzi ✔️
Umekaribishwa mlo ✔️
Si uende UKALE ndiyo ule?
Tumtie katika maombi aamke kutoka usingizini 😁
Bora Mkuu
Umeliona hilo
Ni jukumu lake Sasa
Kulitazama kwa namna
Iliyo chanya
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Wige acha wenge ndugu yanguSasa kigugumizi Cha Nini
Ngoja niite Yango duh
Kumbe huku ni Uber chap
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Unajua kuitengenezaYes ni mdudu
Fanyeni mnipe mbwinu Wigee naona babuu etu ana experience ya kutosha hapooo afanye kunipasia maarifa mjukuu hapa!Unakoelekea siko
Bora uniombe Mimi mbwinu
Huko utapotea
Usije sema sijakwambia
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Asante kaka
Kwa kweliTumtie katika maombi aamke kutoka usingizini![]()

hahahahahaInashangaza eeeh!?
Umeitwa kipenzi ✔️
Umekaribishwa mlo ✔️
Si uende UKALE?
Mvuvi huyoFanyeni mnipe mbwinu Wigee naona babuu etu ana experience ya kutosha hapooo afanye kunipasia maarifa mjukuu hapa!



🤣🤣unaharibu sasa anko wige we nae.acha watuUnakoelekea siko
Bora uniombe Mimi mbwinu
Huko utapotea
Usije sema sijakwambia
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app