Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

View attachment 2455693
Kumbe unaweza kutohitaji Motivation speakers kuweza kuku influence kufikia malengo🤔

Wacha tujipange kwa 2023 kama Mungu atatupa Uhai 🙏

Guys it's Friday 🥂🤗🤸
Nice book...

Practical...

Krismasi njema na heri ya mwaka mpya Mhandisi 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 

Attachments

Baadhi ya vipande vya hii movie vimenikumbusha kitambo kidogo😂😂
Mnaanza maandalizi ya kupika mkiwa pamoja☺️mara hujamaliza kukata vitunguu ushalambwa shingoni muda mrefu kishenzi
A9CFF2F0-4278-4E0F-B13B-7EF30FA25457.jpeg
.😄hujakaa sawa unaachana na vitunguu unapiga game kwanza😄😄ila nyie mapenzi ni matamu sana kukiwa na urafiki na usela ndani yake😍
 
Baadhi ya vipande vya hii movie vimenikumbusha kitambo kidogo[emoji23][emoji23]
Mnaanza maandalizi ya kupika mkiwa pamoja[emoji3526]mara hujamaliza kukata vitunguu ushalambwa shingoni muda mrefu kishenziView attachment 2455825.[emoji1]hujakaa sawa unaachana na vitunguu unapiga game kwanza[emoji1][emoji1]ila nyie mapenzi ni matamu sana kukiwa na urafiki na usela ndani yake[emoji7]
Weeeh!!
giphy.gif


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Dar kuna wajanja banaa!! Msogopeeeee!!
Msiwe ka mie wa Nyakibimbirii hapaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Christmas Tunataka Picha ya pamoja ya wanaselfika wa Darisalama sieeeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]!!
Kwako Director Satoh Hirosh hakikisha plan haifeliiiiii[emoji14][emoji14][emoji16]!!
Plan lazima ifeli maana wote mmeleta visingizio.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom