Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,323
- 95,698
nakula x mass dar, new year nitakua tindiga
nakula x mass dar, new year nitakua tindiga
hii unanikumbusha lubumbashiPure protein [emoji39][emoji39][emoji39]
Karibuni [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2455505
Vijana someni maombi haya kwa uangalifu na kutimiza masharti yote. Wanajua waombaji watakuwa maelfu na wamechomekea kigezo cha leaving certificate huku wakijua kuwa vijana wengi ama hawana au hawatazingatia. Na hapo ndipo wanapata nafasi ya kuchuja waombaji kwa urahisi.Wandugu fursa hii hapaView attachment 2455307View attachment 2455309
Unaogopa kujibishana na mnyonya mbususu BL? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]Nipoo mkuu ila kwa Hilo jina hapana!!! Badilisha asee!!
Habari za Siku mingi lakini[emoji113]!
bukari na viluluPure protein [emoji39][emoji39][emoji39]
Karibuni [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2455505
Chakula ya wazambia hii[emoji1787]Pure protein [emoji39][emoji39][emoji39]
Karibuni [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2455505
Ngoja niwaambienakula x mass dar, new year nitakua tindiga
Oh sanahii unanikumbusha lubumbashi
damu ishachakaaaNgoja niwaambie
cocastic na Tinsley
Waku join na waku peti peti
Upate raha duniani
Ni damu changa sana hao
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna unacho kitafutaaaa wee sio bureee.Ngoja niwaambie
cocastic na Tinsley
Waku join na waku peti peti
Upate raha duniani
Ni damu changa sana hao
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Kwanza mie cna sikukuu, kesho usiku nna pepa.damu ishachakaaa
hahaha cocastic labda [emoji28][emoji28]
Take it easy mjukuu...mambo hayako complicated kihivyo. Kwa sisi wazee tumeona mengi sana na hakuna cha kutubabaisha tena. Hata leo hii nikienda hospitali nikaambiwe nina terminal disease au sijui Mama E kaamua kunipiga chini ni poa tu yaani...Maneno hayaa yameugusa moyo wangu, hadi chozi linatokaaaa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2455513
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimezijaribu jana. Tamu hatari bageshi!Oh sana
Mitaa hiyo wanakula hizo chavi chavi
Wenyewe wanadai zina protein
Plate moja kama hiyo ni kwacha 300 × 140= 45000 Tsh
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
hahaha coca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie inategemea tumekutana wapi? Ukianza kunichangamkia mie sichelewi kuchangamka pia.
Pia sinaga shobo kwa pasipo stahili, wengi hawajawahi nielewaa, maana kubadilika n dkk 0.
Sent using Jamii Forums mobile app
thanksLol santo sana Satoh sema mie sipo Dar Mkuu!! Huko kuna kina cocastic Tinsley Saint Anne Carrasco putin Poor Brain nawengine wengi!!
Kutaneni mfurahi pamoja wapendwa!!
Unataka umalize madarasa yote nini kila siku unasoma. Haya bhana.Kwanza mie cna sikukuu, kesho usiku nna pepa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sanaKwanza mie cna sikukuu, kesho usiku nna pepa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo natafuta niambatisho A nione hizo faniWandugu fursa hii hapaView attachment 2455307View attachment 2455309