Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa Kama Ni poker mbona alikuwa mtu mstaarabu Sana,nini kimemkuta Hadi akaamua kujiita Hilo jina la hovyo na avatar ya kudhalilisha?

Mnyonya Mbususu una shida gani mkuu? Mbona ulikuwa mtu poa sana? Au unanusa gundi siku hizi inakulewesha..!?
Kwa kweli kuna aina ya utani ukizidi ni haupendezi

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
"Ntakuita wangu kabla ya kuitwa na Maulana"
 

Attachments

  • Screenshot_20221223-113034_Spotify.jpg
    Screenshot_20221223-113034_Spotify.jpg
    286.1 KB · Views: 4
Take it easy mjukuu...mambo hayako complicated kihivyo. Kwa sisi wazee tumeona mengi sana na hakuna cha kutubabaisha tena. Hata leo hii nikienda hospitali nikaambiwe nina terminal disease au sijui Mama E kaamua kunipiga chini ni poa tu yaani...

Usijipe shobo kwenye maisha ya watu. Jua nafasi yako kwao na chukua tahadhari...yaani linda moyo wako!

Cheza kwa kufuatisha mdundo wa ngoma ya maisha yako na yao...

Wakionyesha dalili za kutojali wewe weka skweadi kabisa ili muende sawa!

Maisha yako ni yako na uko responsible kwa asilimia 100%. Usilaumu mtu!

Hakuna mtu mwingine aliyezaliwa hapa duniani ili aje kukupa furaha, kukusaidia na kukupa mafanikio. Huo ni wajibu wako 100%

Usitegemee cho chote kutoka kwa mtu ye yote na always tambua kwamba binadamu ye yote yuko capable kufanya cho chote kwa wakati wo wote bila kujali kama ni mzazi, ndugu, mwenza......

Homo Sapiens...kiumbe mtata huyu asiyeeleweka...leo anakujali na kukuthamini sana na kesho ushageuka adui.

Maisha - safari ya mzunguko wa mumo kwa mumo iliyojaa mapambano ya bandia yenye hatihati na unafiki mwingi....

Take it easy...

Zingatia!
Ahsanteeeeeee babuuuu kwa maneno yako ya faraja na hekima.
Nimeyachukua na kuyaweka kichwani, japoo baadhi nayafanyia kazi tangu mda mrefu

Ubarikiwe sanaaaaaa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana
malecturer ndo walivyo nakumbuka Mzumbe muda wa chrismas ndo mnafanya supp zenu ... unafanya kwa uchungu hii ni kwa first year tu .
kuna li lecture li haya lina masifa hiloo balaaa, likianza kuelezaa mambo yake, unacheka nguvu huna, anasema yeye na mke wake wakilaka kitandan, bas kitanda kinakua kimebebaa degree 8.

Anatukomeshajeeee, jana anasemaaa "hamjaja dar kula sikukuu mmekuja kusomaaa" baadhi ya wanafunzi wa kanda ile pendwaa kwa xmass wananuna hapo, uwiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom