Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli jamani hajakosea,, ningekuwa na uwezo ningekutumia picha za huyo cousin yangu wa kike uliyefanana naye na wala hata siyo mtu mzima sana yupo kwenye early 20s and she is beautiful..

Najua wanaume hampendi kufananishwa na wanawake lakini to tell you the truth you have a girlish face (no offence) japo haibadilishi haiba yako ya kiume see it doesn't matter how you look like but you are still a man
@karma kumbe una cousin wa kike age yangu kabisa huyo
 
Back
Top Bottom