Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Aliyoandika karma ni kweli umebarikiwa.It makes sense.. maybe nimefana na mama kweli
Aliyoandika karma ni kweli umebarikiwa.It makes sense.. maybe nimefana na mama kweli



haki kuna watu ni wagomvi
It makes sense.. maybe nimefana na mama kweli



nami nimezipokea shukurani zako kwa dhati kabisa mkuu
Wanasema akutanae hakuchagulii tusi. Nami nikushukuru kwa tusi lako kwangu.
Ila wa kwangu siwezi kujifananisha na wako aisee. Mwenzangu nahisi sikuusipopita hapa unatundukiwa dripu.ni uraibu huo huo ndiyo umekurudisha,, uraibu wa huu uzi hautibiki hata kwa rehabilitation tujibebe tu..
Aliyoandika karma ni kweli umebarikiwa.





mdogo wangu umenichoka
Ila wa kwangu siwezi kujifananisha na wako aisee. Mwenzangu nahisi sikuusipopita hapa unatundukiwa dripu.


Alaaaa wacha weeee au siyo,, nifanyie mpango wa voice note basi nikusikie na vyenye napenda kusikia mkaka aki rap..
Aliyoandika karma ni kweli umebarikiwa.
Yeah si unaona hapo kuna mwenzio amekuambia una mdomo kama wa dada yako??haki kuna watu ni wagomvi
Mwenzako nikipotea leo nitarejea tena humu mwakani. Sijui mwenzangu utaliweza hilo ?mdogo wangu umenichoka
Hahahaha nipo,, hamna huo ni wimbo unaitwa "23" wameimba Mike WiLL Made-It, Miley Cyrus, Wiz Khalifa na Juicy J, chorus yake ndiyo inaimbwa hivyo "Js on my feet"
Naupenda.Hawa GSW wanatia aibu sasa. Naona hata sisi Cavs last season tulikuwa na ahueni sio kama hawa.Daaaah...uzuri wa huku kuhama inaruhusiwaView attachment 1265283
Daaaah...uzuri wa huku kuhama inaruhusiwaView attachment 1265283
Hawa GSW wanatia aibu sasa. Naona hata sisi Cavs last season tulikuwa na ahueni sio kama hawa.
Mmh pole mkuu njoo LA
Ndo ukaamua pita kimya kimya sio?Si hiyo picha ya arien ambayo kaambiwa na hawachi asifute
Aisee we binti😂😂mkuu kama tupo wanawake wenye sura za kiume (za baba zetu) kutakosekanaje wanaume wenye sura za kike??