😎😘Monday morning View attachment 1265617
Dah! 😍😍 thanks Bebe J but not satisfied 🏃🏃 Sweet handwriting....napenda hizo kalamu ukiandikia inaacha kaharufu flani hivi kakuvutia
Ongezea na nyingine basi afu kama kawaida usisahau tag....
Nilivyoona 'tunguli zimenibamba' nikajua enhee' Leo namuotea yule mtoto mzuri,
Sema mashaalah' una mwandiko mzuri! Good Lord.! Me nacharaza docta akasome.!!
Aisee. Kumbe unasoma mambo magumu hivyo? Nimeona mimaandishi hapo imeandikwa ENGINEERING VUFRE... hapo kwenye hiyo Excel sijui.Picha si hiyo hapo?tena nimesahau kucrop out kidole changu kinaonekana kwa mbali 😂
Share nasi Best
Tutafundishana sote ni ndugu
Nimeelewa mpendwa Shukrani
Come and get it..... (in moana's Voice )
Wala sikuona mpendwa
You don't have mine😀😀😀Nope,, I've had enough..
Unavyowaambia watu una sura chachuhivi tunaongelea nini eti??
Vibaya hivyoBasi itakuwa nilifuta eti