Mimi huwa siweki picha yangu ikadumu ndani ya dakika lazima nifute sorry mpendwa
😀 nmepitwa
Mimi huwa siweki picha yangu ikadumu ndani ya dakika lazima nifute sorry mpendwa
Pole najua umeiyona 😁😀 nmepitwa
Kiuno mama 😍😍Kwa heshima yako nimepiga pichaView attachment 1265172
Bora wew mwaume mimi kuna mda nikivaa najistukia hasa njiani nikutane na ndugu aliyenizidi umri![]()
ishi utakavyoKwa heshima yako nimepiga pichaView attachment 1265172
Eka tabasamu lako lile
Huyu ni wew mpendwaWooow Ahsante nami kwa heahima yako ngoja nipige Selfie..
View attachment 1265175
Yes kama hicho ila yangu nyeupe yenye mistari ya black
Ukiachana na zile 3's & 4's sidhani kama Kuna J's zingine nazielewa mpk leo
ShukraniNaaam
Ila mguu wako safii saana
Kwa heshima yako nimepiga pichaView attachment 1265172
Naaam hujambo mdogo wanguKwa heshima yako nimepiga pichaView attachment 1265172
Huwa nanunua Retro....zile za zamani kila mwaka wanatoa mojawapoUkiachana na zile 3's & 4's sidhani kama Kuna J's zingine nazielewa mpk leo
Sijambo shikamooNaaam hujambo mdogo wangu
Booti hizo.... hahahaaRaba yako nimeikubali mkuu.
Japo umeifuta picha ako nimeiwahi ichunguliaa😊😁😁Shukrani