Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952
Karibu utembee huku uenjoy
Nakuonea wivu ujue...
Nakuonea wivu ujue...
Itakuwa Moro town hii, Uluguru ndio ina vilele vipo sharp
Karibu utembee huku uenjoy
Ni sehemu gani kwani hapa? Moro huwa napita tu nikiwa safarini ingawa nishafika Dakawa na kukaa kama mweziYah ni moro ila ni kijijini
Thanks mkuuItakuwa Moro town hii, Uluguru ndio ina vilele vipo sharp
Mshana mshana mshana nakuita mara tatu

Ni sehemu gani kwani hapa? Moro huwa napita tu nikiwa safarini ingawa nishafika Dakawa na kukaa kama mwezi
Napenda tembea ujue, siku moja panapo majaaliwa nitafika huko...
Bila shaka weye ni mkazi/mwenyeji huko
Panaitwa Kilima Hewa ndani ya Wilaya ya Mvomero . Ndio naishi maeneo haya , oh it is always good to visit some places .
Kwani umeshazeeka mkuu ??Kipindi cha ujanaView attachment 1265281
Okay thanks, nitagoogle kujua habari zake zaidi, pengine siku moja nikafika huko hususani kama kuna mambo ya kilimo (sisi wengine hatutupwi na jembe)...
Yeah, it feels good to go around and meet new stuff n peeps...
Nishakua mzee mkuuKwani umeshazeeka mkuu ??
Aaaah mi na rap kwa slang ya kimarangu sio yaki newyork![]()
You guys don't believe I'm ugly and broke
Wewe useme nini sasa. Wewe upost tuu kapichaWe mtoto utakuwa unataka tu kututukanisha sasa kama wewe ni mbaya na sisi tusemeje??
Jamaa mzinguaji tu huyo.. kipigo kingemuhusu huyu
Hongera....! MnoooHapana.
Nlishamaliza certificate yangu kitambo
Nawaza kuanza diploma.
Mwenzako nikipotea leo nitarejea tena humu mwakani. Sijui mwenzangu utaliweza hilo ?