DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Mzee baba umelikariri hadi jina lakeMshubate mlete shemeji yetu tisafishe macho....View attachment 1265389
Mzee baba umelikariri hadi jina lakeMshubate mlete shemeji yetu tisafishe macho....View attachment 1265389
Nipo natafuta mapene mkuu wangu wa kitengoNi Msubhate,, halafu we naye ulifia wapi??
Nipo natafuta mapene mkuu wangu wa kitengo
Niliangalia siriz late night usingiz umenikaba nikaona uvivu kuipeleka mezani do nikaizima nikala iko pembeni ya kitanda. . Hehehe kwanini nisiifanye mto!! Asubuhi kioo kimetabakaa mistari tu! Ili kuitumia mpaka niunganishe na TV.
Fortunately nina nyingine karibu tuangalie Angry Bird
Nilikuwa nawasalimia tu![]()
Dogo inatoka wapiiOohh sawa fogo,, asante nimeshakaribia mkuu..
Hapana.
waambie kesho jioni tuonane mji wa Kent niwape offer ya kula ndafuAu siyo?? CIA wanakusalimia!!
Dogo inatoka wapii
Duu..pombe nyingine unaweza kunywa nya ikagoma kutoka
Mweh mweh mweh
Mpaka nimesisimka
Chat na picha
Mbona unaniita mdogo wako wataka ninyima nini?We si mdogo wangu
Beach kidimbwi mwenyeweBeach Kidimbwi
Chat na picha
Hapana.
sawa mpendwaWeka mapichaa