sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Hebu muweke kipande tumuone....! Msalimie cusin bwana.Kweli jamani hajakosea,, ningekuwa na uwezo ningekutumia picha za huyo cousin yangu wa kike uliyefanana naye na wala hata siyo mtu mzima sana yupo kwenye early 20s and she is beautiful..
Najua wanaume hampendi kufananishwa na wanawake lakini to tell you the truth you have a girlish face (no offence) japo haibadilishi haiba yako ya kiume see it doesn't matter how you look like but you are still a man
Naupenda.



