Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndo nachokaaa hapooo tyuuh, afu sasa wote wadada, yule wa kwanza alisema walisoma wote Makongo sec, akat mie hapo Makongo hata Getini sijawahi kanyaga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu wa leo anasema alisoma nae primary huko Tanga, akat mie Tanga nilienda baada ya 4m 6, na nliishia pale Kabuku Mgambo JKT. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Najiulizaga nimefanana na wangapi? Wenginee utaskia wee si mtu wa kanda ya juu kusini unadanganyaa, mbna uko km mtu wa kanda ya kati.

N tafrani tyuuh.



Sent using Jamii Forums mobile app

kha hao wamezidi , wamekufannisha na mtu shule huko dah .
mie ningewaacha kwa kweli ..
 
giphy.gif
 
Back
Top Bottom