Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,151
- 28,874
Mahindi.Ooh hapo sawa unalima nn
Mahindi.Ooh hapo sawa unalima nn
Mtoe na mialiko sasa maana idd sio mbali!
Wacha bhana.😂😂Kwa kukusaidia
Chaguo bora hapo ni SYB
Hao wawili wengine
Ni wazee wa mchongo
Ni wavuvi haramu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Aya hongeraMahindi.
Nipoo mkuu ila kwa Hilo jina hapana!!! Badilisha asee!!Salama myoyambendi vp umenionea wapi Antonnia
Zamani alikuwa anajiitaje?Nipoo mkuu ila kwa Hilo jina hapana!!! Badilisha asee!!
Habari za Siku mingi lakini✋!
Asee yamestawi Sana. Wapi hi mkuu?Sisi kwetu yako hivi! Huko kwenu vipi? Hali ya hewa inaridhisha, mawingu Kama unavyoyaona.
View attachment 2455339
Alijiita PokerZamani alikuwa anajiitaje?
Usukumani, shinyanga Tanzania.Asee yamestawi Sana. Wapi hi mkuu?
Unaogopa jinaNipoo mkuu ila kwa Hilo jina hapana!!! Badilisha asee!!
Habari za Siku mingi lakini!
Sasa Kama Ni poker mbona alikuwa mtu mstaarabu Sana,nini kimemkuta Hadi akaamua kujiita Hilo jina la hovyo na avatar ya kudhalilisha?Alijiita Poker
Uje kitarasaWeek end ya bata refu, naanza kwa mama manka mdg mdg, wengine toeni code