Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,297
- 46,755
Ni TbT hiyo..Bwana mdogoo
Ni TbT hiyo..Bwana mdogoo
Naona kabisaaaa!!!hapo sijui abort huyooo!!!Ni TbT hiyo..

Kwakweli tule TU mbinguni tutapewa mwili mpya😂hahha , kuna wengine hatari
mimi pia nilikuwa sipendi ghafla tu , mapishi ya mama dah .
saa tatu kashaunga mboga na juice tayari nikiwa mkubwa nataka kuwa kama yeye .
AiseeeTbt.."nishakula kitabu..ooh please"View attachment 2454638
Ishhh 🥴🥴Kukoroga uji?
Hiyo kitu hakunaga
Kwenye ugali wa kisukuma
Nafikiri ni utamaduni wa watu wavivu wavivu
Wanaotokea
Pwani
Mbeya
Zanzibar huko
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Naona umekuja dar kimya kimya Saint Anne
Me nimezeeka Mjukuu 🙈
Oyoooo,hatimaye😘😘😘