Yupo jirani tu, atakuja muda si mrefu..Salama myoyambendi vp umenionea wapi Antonnia
Is it a movie ama series?#leopardskin
View attachment 2454987
Series....Is it a movie ama series?
Hivi kumbe hawa watu uliowamention ni watu wazima ee…nilikuwa sujui bhana nikafikiri vijana wa 25-30 hivi..loh🙄
Alba ndio starring ama adui?Series....
Sijibu chochote hadi umebadili avatar na usernameNaona umekuja dar kimya kimya Saint Anne
Wacha bhana.Wee haribu ndoa zawatu kenge wewe B Wangu anitosha!
Kipotabo changu mwanamke wa mbeya mwenye mahaba tele kwa Wigelekelo mtu mbadi niambie uko dar sehemu gani nije nikuletee zawadi ya perfume kutoka Qatar!Sijibu chochote hadi umebadili avatar na username
Alba who???Alba ndio starring ama adui?
Kwa kukusaidiaHivi kumbe hawa watu uliowamention ni watu wazima ee…nilikuwa sujui bhana nikafikiri vijana wa 25-30 hivi..loh![]()
Ume likeSijibu chochote hadi umebadili avatar na username
Alba yule ambaye mume wake anadate na batty?Alba who???
Badili kwanza hivyo vituKipotabo changu mwanamke wa mbeya mwenye mahaba tele kwa Wigelekelo mtu mbadi niambie uko dar sehemu gani nije nikuletee zawadi ya perfume kutoka Qatar!

Aisee, ndio ua gani hili mkuu
Duh
Poppy flower 🌺 hapo ni likianza stage ya kuachama ua lenyewe!Aisee, ndio ua gani hili mkuu
Hahaha!!Dah hili ua hata nchini kwetu Tanzania
linapatikana?