Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Mshubate mlete shemeji yetu tisafishe macho....
[emoji846][emoji846]what??
Bora kama hukupata baraka pale, maana una laana nyingi sana ule.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu ule uzi wala hata hujawahi nibariki
upo right Prondo Babu alinitunga hilo Jina nikiwa mdogo sababu nilikuwa mweusi pekee kwenye kijiji anachoishi wakati najiunga JF nikakosea ilitakiwa iwe Blackcornishman.
Mshangao tu
Bora kama hukupata baraka pale, maana una laana nyingi sana ule.
Miweke cuzo bwanaaaa[emoji1787][emoji1787]nimuweke kipande nani denvers au huyo cousin angu??
Kwenda wote ama?Usinisahau na mimi kaka
Miweke cuzo bwanaaaa
Why now??
Kwenda wote ama?
Libaki hivo cause hata mtu akigoogle hawezi kupata meaning yake.
Yeap Yeap
Ridhaaa nnimeitoa mie kaka mtu.Hahahaha siwezi bila ridhaa yake aise
Vile umefananisha huyo dogo na jinsia nyingine
Kweli kabisaaa. Nkasema gafla BL imegeuka namna hiyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ah huyo kaamua kutuzeveza tu
Usijali, you"ll the firstto know...
Probably mwezi January kama hakutakuwa na mvua