sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,151
Ha ha haaa nakuona jinsi ulivyojipangaSidanganyiki [emoji28][emoji28]
Ha ha haaa nakuona jinsi ulivyojipangaSidanganyiki [emoji28][emoji28]
Nimeambiwa nisiweke eti [emoji17][emoji17]
Tunguli zimenibamba [emoji23][emoji23][emoji23] Karma Depal SweetieLee Hawachi troublemaker Don Clericuzio na wengine
Hopu yu no hau machi ai lavu yu jamiiforam membaz...i'll never forget you fake IDs [emoji28][emoji28]
View attachment 1265447
Ha ha haaa nakuona jinsi ulivyojipanga
Sasa hivi nilikuwa napita hapo kumepoa balaaa. Leo hata harusi hamna
Nipe feedback
Bora iwe hivyo tu. Maana id zako zingine zitaongezeka maradufu kukufungulia nyuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwenye "tunguli zimenibamba" nimejikuta namalizia "mobeto"
Mwanzo mzuri joanah we love you too,, karibu kilingeni..
Pita gugo umuone.. andika orodha ya wanawake maarufu utamkuta no 7[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]OMG sijawahi kuisikia hiyo,, yaani JB wanamuweka kwenye orodha ya wanawake?? Tena mbona sasa hivi ndiyo ana mwili wa kiume kabisa na hata hivyo sijawahi kuona aisee hiyo list inapatikana wapi??
Daah ushanivunja moyo..
Looks like my LenovoTunguli zimenibamba 😂😂😂 Karma Depal SweetieLee Hawachi troublemaker Don Clericuzio na wengine
Hopu yu no hau machi ai lavu yu jamiiforam membaz...i'll never forget you fake IDs 😅😅
View attachment 1265447
Sio poa ivoPole sana,, subiri niuunganishe..
Looks like my Lenovo
Yeaaah it's look like..Looks like Lenovo lakini hiyo sio Lenovo
[emoji23][emoji23][emoji23] siweki zingine asee!
Hii ilikuwa special thanks tu kwa walioweka picha kwenye huu uzi...nimeona picha nyingi kwa huu uzi so i thought of cooperating hata kwa kuweka kapicha kamoja tu kwa shukurani
Naupenda sana huu uzi
Pita gugo umuone.. andika orodha ya wanawake maarufu utamkuta no 7
Sio poa ivo
Yeaaah it's look like..
Hata hvyo yangu niliivunja kioo
YeahhhhMie huyo?[emoji28]
Looks like my Lenovo