Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,753
🙏🙏Tunguli zimenibamba 😂😂😂 Karma Depal SweetieLee Hawachi troublemaker Don Clericuzio na wengine
Hopu yu no hau machi ai lavu yu jamiiforam membaz...i'll never forget you fake IDs 😅😅
View attachment 1265447
Yaani huwezi amini dear niliyoona tag yako nimevunja mguu kwa mbio nikajua leo kaweka picha yake kuwa serious jamaniii.
Tubariki kwanza na picha hata ya mkono..usiku wetu uende vizuri kabisa mamii![]()
Shukrani kwa picha mamiiiPicha si hiyo hapo?tena nimesahau kucrop out kidole changu kinaonekana kwa mbali 😂
Una handwritting poa sanaTunguli zimenibambaKarma Depal SweetieLee Hawachi troublemaker Don Clericuzio na wengine
Hopu yu no hau machi ai lavu yu jamiiforam membaz...i'll never forget you fake IDs
View attachment 1265447
Tunguli zimenibambaKarma Depal SweetieLee Hawachi troublemaker Don Clericuzio na wengine
Hopu yu no hau machi ai lavu yu jamiiforam membaz...i'll never forget you fake IDs
View attachment 1265447
Weka picha ya hivyo vidole vyenye rangi nzuri kwanza ....mawazo yangu yaje vzrUmewaza nini?
Kabla ya kufanya hivyo funga pm kwanza kulwa 😀😀Ngoja nipige picha nywele...au hutaki?😂
and i never offended noone...
mesema jinsi umemfananisha, means the way umeelezea ilikuwa interesting...like mtu unatamani umuone huyo binamu yako

No need to worry she will have the smart guy alive.. Utamuelezea tu kua mm rafikiyo. Hebu fungua pm tuyapange haya mkuu
Weka picha ya hivyo vidole vyenye rangi nzuri kwanza ....mawazo yangu yaje vzr
Daah ushanivunja moyo..Haha pm kuko wazi,, ila kule nako tegemea majibu kama haya tu..![]()
Kabla ya kufanya hivyo funga pm kwanza kulwa 😀😀



OMG sijawahi kuisikia hiyo,, yaani JB wanamuweka kwenye orodha ya wanawake?? Tena mbona sasa hivi ndiyo ana mwili wa kiume kabisa na hata hivyo sijawahi kuona aisee hiyo list inapatikana wapi??
Ni kweli mpaka leo wanamuita ni she.. hata orodha ya wanawake maarufu yupo no 7. Mimi angalau barehe ilinisaidia kukomaza sauti
Cha ajabu ule ndo nausoma kuliko hata huu.