Kwa sababu kitako chake ni kidogo ukiisimamisha ni jepesi kumwagika
Nimealikwa kwenye kanisa fulani la wapopo kuna kwaya spesho, sharti ni lazima tuvae hizi Tshirt ambazo kanisa linauza na rafiki yangu kaninunulia moja,mpaka sasa hivi najiuliza niende au nisiende nahisi kama upigaji tu.View attachment 1264983
Hapana hii nilisafirisha mkuuHii Iringa, Njombe au Mbeya?
Mia nane tena
Hapo ndo imeisha hivyo
Nna hamu ya supu ya utumbo wapi ntaupata?
Usiniambie 5N
Safari bar pana supu kokoto,mboliko n.k
Mkuu kuna msaada nilikuomba pm naomba uipitie. WassalaamTwende wote bas my love wangu
Mkuu kuna msaada nilikuomba pm naomba uipitie. Wassalaam
Yana piga kelele balaaa kama sio mvumilivu huwezi kabisa.ila mayai mamaUtakua mvumilivu sana kufuga haya makitu yenye kelele
Hiyo Pilipili,Nyanya au ndio macho yangu yanakufa sioni vizuri...?Pale pale View attachment 1265008
hahahaha nenda tu mkuu ukasafishe machoNimealikwa kwenye kanisa fulani la wapopo kuna kwaya spesho, sharti ni lazima tuvae hizi Tshirt ambazo kanisa linauza na rafiki yangu kaninunulia moja,mpaka sasa hivi najiuliza niende au nisiende nahisi kama upigaji tu.View attachment 1264983
Wapi hapa?. Nachimba dawa maramoja niko peke yangu lakini View attachment 1264975
👏🏼👏🏼TunaendeleaView attachment 1264973
Kufuga hawa viumbe unapata bururdani murua kabisa ya makeleleTunaendeleaView attachment 1264973
Twende wote bas my love wangu