Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,737
Air Jordan 4.Hawachi chungulia fasta kabla sijafanya Kama ufanyavyoView attachment 1265258
Air Jordan 4.Hawachi chungulia fasta kabla sijafanya Kama ufanyavyoView attachment 1265258
Haswaa!Air Jordan 4.
Mzembe Sana huyu
Sura yangu ndio mfano wa ubayaSome of us are people and we are ugly so what is your point if I may ask??![]()
@sakayo yupo kanisan anasemina.
Nimeiona kakake![]()



wewe sasa inabidi nikuijie mtaa wa saba maana nimegundua unanifanyia makusudi
Karma atarudi picha ikifutwa![]()
Kumbe ulienda mkuu? Naamini umeimbishwa vya kutosha leoNdiyo nimetoka kupata upako wa kinaija Monday nikiamka full mablessingsView attachment 1265271
Air Jordan 4.
Eenh??
Mkuu chachi yenu ina pisi nzuri saana. Hapo upako upo mwing saanNdiyo nimetoka kupata upako wa kinaija Monday nikiamka full mablessingsView attachment 1265271
Ninyi si mnanivizia nikitoka online ndiyo mnatuma,, siyo vizuri mnavyonifanyia mie nakuja nakuta tu watu wanasifiana picha zishafutwa..
Hebu kuweni kama kaka zetu bhana mbona wao hawafuti picha zao wote nimezikuta humu yaani hadi raha jamani wakaka wote mliotuma picha zenu humu na hadi sasa zipo Mungu awabariki sana muendelee na moyo huo huo nawapenda mnosisi wadada mtusamehe bure tu
![]()
Mkuu uko Cornwall?Ndiyo nimetoka kupata upako wa kinaija Monday nikiamka full mablessingsView attachment 1265271
Aiseee 😁😁😁Mkuu chachi yenu ina pisi nzuri saana. Hapo upako upo mwing saan
Mdomo kama wa dadaako aiseeWooow Ahsante nami kwa heahima yako ngoja nipige Selfie..
View attachment 1265175
Sura yangu ndio mfano wa ubaya
Mi mzima sijui wewe Karma ? Habari za mapumziko ya mwisho wa wiki ?Another Mr Cute mzima wewe??
Nilijua nimeliona peke yangu hili😄Mkuu chachi yenu ina pisi nzuri saana. Hapo upako upo mwing saan