National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,203
😅😅😅😅 Ndoa na kuwa wadhambi wapi na wapi tena.. Mie kama mwanaume, ndio nakupa siri...No one is perfect in this earth ..
We are all sinners and fall short of God's glory .
Sie wanaume: Tunapenda mwanamke msikivu, mtiifu na wasio wajuaji, .. mwanamke akiwa hivyo automatic mwanaume mwenye akili utaona ana sumbit kwenye utii wa mwanamke as a result of love 😅😅


