Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ko kumbe Ndoa sio kusudi la Mungu?

Mbna mnatuchanganyaa sasa!! Khaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakataa na sijakubali, nimeuliza hilo swali ili kumleta kwenye point nzuri sana akielewa hatopata shida, ndio maana nime muuliza nani kamuambia ndoa ni kusudi la Mungu ?

mtu anae kuambia habari ana nguvu ya kufanya mtizamo wako kuwa katika namna flani..

nataka kujua kaambiwa na mchungaji wake, Roho wa Mungu, Neno la Mungu kwa ufunuo, au Mungu mwenyewe au kasoma tu humh Jf..
 
Go and read Genesis 1:26-28
Kama unaona ndoa ni moango wa Mungu na umesoma kwenye biblia.. Pia Mungu huyo huyo kupitia maandiko katoa miongozo ya wote Me na Ke namna sahihi ya kuishi.. kama utaishi nje ya miongozo hiyo tegemea changamoto kwenye mahusiano yako
 
Nimekuambia nioneshe wapi na mtazamo mmbaya na wadada au wapi nime dhalilisha hata dada mmoja humu ?

Mwanaume anapenda ; mwanamke mtii, mwanamke msikivu, mwanamke asie mjuaji , na mwanamke alie tayari kufundishika... hapo hakuna mwanaume atae kuwa mgumu wa kutimiza ayatakayo mwanamke pia.. ila kama mwanamke hana hayo kila siku ataachwa na ataona kama hana bahati kumbe anajiroga asiolewe..

Mie nimekuuliza nani kasema ndoa ni kusudi la Mungu, sipo hapa kufanya mijadala ya kidini. Jibu kifupi tu basi
The bible clearly states that God designed marriage to reflect his love to the world .

Marriage is the first institution which God himself established .

I understand women must submit themselves to their men . that's clear ..
 
Umesoma andiko ni vyema sana, ila una taarifa sahihi wa mwanaume na mwanamke kabla ya kuanza hatua za ndoa na mtapo kuwa na ndoa ?
 
The bible clearly states that God designed marriage to reflect his love to the world .

Marriage is the first institution which God himself established .

I understand women must submit themselves to their men . that's clear ..
Maana hiyo biblia imetoa miongozo mingi ya kufanya na ni kusudi la Mungu na hatufanyi.. Na shida ndio inaanzia hapo.. unataka kula embe lilikomaa bila kupitia process ndio watu wengi wa sasa sio wakaka au wadada wanataka ( product ) na sio kupitia mchakato wakuioata hiyo product.... wanataka ndoa huku hawana tabia za kuwaingiza kwenye ndoa na hii inatoka na kuchagua maandiko ya kuishi
 
Kama unaona ndoa ni moango wa Mungu na umesoma kwenye biblia.. Pia Mungu huyo huyo kupitia maandiko katoa miongozo ya wote Me na Ke namna sahihi ya kuishi.. kama utaishi nje ya miongozo hiyo tegemea changamoto kwenye mahusiano yako
The way you ulivyoandika sio poa .. You are implying that women are not getting married because they're not obedient , wajeuri na wabishi .

Wakati that's not case in all times
Mnataka hao wanawake wawabebe mgongoni ?
 
Sijakataa na sijakubali, nimeuliza hilo swali ili kumleta kwenye point nzuri sana akielewa hatopata shida, ndio maana nime muuliza nani kamuambia ndoa ni kusudi la Mungu ?

mtu anae kuambia habari ana nguvu ya kufanya mtizamo wako kuwa katika namna flani..

nataka kujua kaambiwa na mchungaji wake, Roho wa Mungu, Neno la Mungu kwa ufunuo, au Mungu mwenyewe au kasoma tu humh Jf..
Sema mie masuala ya kiimani hasa kwenyee dini siko huko. Niwaachie wenyewe, ila nimeuliza couz huwa nasikia Ndoa ni kusudio la Mungu, na hataki uzinzi.

Ila bas achia hapo hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana hiyo biblia imetoa miongozo mingi ya kufanya na ni kusudi la Mungu na hatufanyi.. Na shida ndio inaanzia hapo.. unataka kula embe lilikomaa bila kupitia process ndio watu wengi wa sasa sio wakaka au wadada wanataka ( product ) na sio kupitia mchakato wakuioata hiyo product.... wanataka ndoa huku hawana tabia za kuwaingiza kwenye ndoa na hii inatoka na kuchagua maandiko ya kuishi
Waache na tabia zao , don't judge ...
Life is a journey , who knows watapata wenza wao wakiwa wazeee ?
 
The way you ulivyoandika sio poa .. You are implying that women are not getting married because they're not obedient , wajeuri na wabishi .

Wakati that's not case in all times
Mnataka hao wanawake wawabebe mgongoni ?
😅😅😅 ndoa ni uwajibikaji wa Me na Ke.. Nisome kwa kutulia utanielewa
 
Waache na tabia zao , don't judge ...
Life is a journey , who knows watapata wenza wao wakiwa wazeee ?
😅😅😅 hakuna mahala nime judge.. Mungu anategemea watu kupata wenza katika ujana, ili wazee walee.. na sio uzeeni..
 
Who knows , God has a plan for everyone . na anatuwazia mema sisi watoto wake.

I believe kuwa unaweza ukachelewa kupata kitu in life lakini kikaja kikadumu muda murefu na kukupa amani .
 
Back
Top Bottom