Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Yeah zipo ila hujui chini ya kapeti kinachoendelea ... Wanandoa waone hivi wamesimama .Ukiona kuna ndoa zina shida, na kuvunjika jua pia kuna ndoa zisizo na shida na hazivunjiki zimejaa amani tele upendo na furaha
Do you think its easy to stay with one person let's say like 50 years ?

