Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Sahihi ,kabisa sema sasa najiuliza nitatoka na wangapi had nipate atakayenioa ? Bora nistick na huyo ilimradi ananipenda na kunijaliHayanaga mwongozo na hakuna fomyula mjukuu. Ndo maana akina Shilole wanaolewa kila leo na kuna wengine hakuna kitu....maisha yako hivyo. Kila mtu na safari yake ndiyo maana tunashauriwa sana kutoiga mambo ya wengine au kujilinganisha nao!
Wacha watu wawe spinsters tu .
Comparison is a thief of joy ... When you compare yourself with others , you will end up getting hurt basi .




