Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Imeisha hiyo shosti
Nakuwa excited sana na watoto
Nawapenda
Imeisha hiyo shosti
Sio kila siku , ukienda private hospitals hakuna maneno mengi .
Relaaaaaax ishaisha hiyooo.Imeisha hiyo shosti
Nakuwa excited sana na watoto
Nawapenda
😅😅😅 huo ubinfsi shangazi, acha akapate uzoefu mpyaa, alafu unajua kuna mambo ukiwa na mkeo ndani uwezi fanya, ila kazi za nje unafanya kwa amani kabisa 🤣🤣Hapana Mjomba yani nikiwaza haya mautamu makeke yotehaya nahili bororiee anapenyezewa mwenzangu uwiiiii!! Hapanaaa!!
Bora hata hukoSio kila siku , ukienda private hospitals hakuna maneno mengi .
jamaa anafaidi litako lile 😅😅😅
Fanya wepesi nawe usindikizwe dearr!! 🤰🤰 Tramuuu!!Weuweeeeh ndo mambo yangu hayo.... Nina uzoefu wa kupeleka marafiki zangu .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Kama mambo gani lol? Si unamuelekeza mkeo akufanyie au umfanyie lakini!!🤔😅😅😅 huo ubinfsi shangazi, acha akapate uzoefu mpyaa, alafu unajua kuna mambo ukiwa na mkeo ndani uwezi fanya, ila kazi za nje unafanya kwa amani kabisa 🤣🤣
Yeah hata refferal hospitals ni pazuri .
Yeah hata refferal hospitals ni pazuri .
Tena nimependa kujifungulia hospital za rufaaa maana wanajitahidi sana kuzalisha kwa normal birth .. Private hospital wao na operation na pete na kidole .






private wanataka opparies ili wavune hela nyingi wajanja wale. Amen , God's timing .Fanya wepesi nawe usindikizwe dearr!! 🤰🤰 Tramuuu!!
Aisee Mungu atuepushie mbali
😅😅😅 banaa wewe kuna vitu vinapatikana nje tu .. ndoa na mke wana kuna heshima zake ila nje huko ahaaaa unakuwa huna mipaka unafikiri kwanini wanaume ambao sio wakomavu wana vunja ndoa au kuleta mushkeri ndani ya ndoa zao na wake zao, kuna mabaraaa huko nje wanakutana nayo ambayo ndani hayatekelezeki na haitakaa yawezekana labda uone mtu ambae umekuta ana hayo mabalaa na mlisha gongana ule mpaka unakuwa haupo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Kama mambo gani lol? Si unamuelekeza mkeo akufanyie au umfanyie lakini!!🤔
Hio mibalaa wanaiweza michepuko mjomba mie hekaheka zisiweziii😁😁😅😅😅 banaa wewe kuna vitu vinapatikana nje tu .. ndoa na mke wana kuna heshima zake ila nje huko ahaaaa unakuwa huna mipaka unafikiri kwanini wanaume ambao sio wakomavu wana vunja ndoa au kuleta mushkeri ndani ya ndoa zao na wake zao, kuna mabaraaa huko nje wanakutana nayo ambayo ndani hayatekelezeki na haitakaa yawezekana labda uone mtu ambae umekuta ana hayo mabalaa na mlisha gongana ule mpaka unakuwa haupo
😅😅😅😅 sio michepuko tu, hayo mambo ni ya makurumbembe.. kama huna kifua unazimia 🤣🤣🤣Hio mibalaa wanaiweza michepuko mjomba mie hekaheka zisiweziii😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁! Mjomba wangu expert bila shaka hutamsumbua mgoreee na hekaheka zako hizoooo😁😁!😅😅😅😅 sio michepuko tu, hayo mambo ni ya makurumbembe.. kama huna kifua unazimia 🤣🤣🤣
😊😊😊 huyu wa ndani mbona ananiona kama malaika sijui kitu mie 🤣🤣🤣🤣 .. tafrani ni nje tu na sio ndani.. ndani kuna zaidi ya hilo.. ndani vibe kukaa na mtu anae kupenda na kukuheshimu na kama rafiki yako mnapiga story umbea ni raha tupu.. ila huko nje hamna mambo hayo kule ni baraa tu kama mieleka na lugha kali 😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁! Mjomba wangu expert bila shaka hutamsumbua mgoreee na hekaheka zako hizoooo😁😁!
Kweli mikurubembe Ndio inaweza hizo kashikashi😁😁😁
Mjomba una balaa wewe
Amen amen! Pongezi tumezipokeaaaaDuh hatari , kuitwa mama si mchezo .
Pongezi kwa wamama wote



Kama malaika🤣🤣🤣🤣!😊😊😊 huyu wa ndani mbona ananiona kama malaika sijui kitu mie 🤣🤣🤣🤣 .. tafrani ni nje tu na sio ndani.. ndani kuna zaidi ya hilo.. ndani vibe kukaa na mtu anae kupenda na kukuheshimu na kama rafiki yako mnapiga story umbea ni raha tupu.. ila huko nje hamna mambo hayo kule ni baraa tu kama mieleka na lugha kali 😅😅😅