Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Eti eehh!! sawasawa!! nilikua sijui!!

Sasa mtu anasema alikuacha si aachane nawewe mazima Kwanini anakusumbua sumbuaa ??? Mtu anaonesha kujutia kabisa ilhali ishapita miaka kibao all these years wee umekaa tyu kwa ubaya ganii?? Kuna watu ni hawajielewi!

Afu mtu yeye ndio anakusumbua anenda kugeuza kibao etu wewe ndie unamsumbuaa khaaahh ni upuuzi!
Ukimkuta wa hivo mtupie jini
 
Watu tunajizima data tu mjomba!!
Siku hizi kuna shida sana kwa vijana, ila ukweli ni kwamba wanachotakiwa kufanya hawafanyi. Mfumo wa maisha sasa hivi unahitaji umakini sana, pia kumuomba Mungu na kujua vipaumbele vyako na namna sahihi ya ku execute .. watu hawajui priority zao kama ndi mapenzi au uchumi au familia lazima yawatokee puani
 
Back
Top Bottom