Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwambie ulivyonitapeli juzi
Me na mtoto
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mtoto atapa ila wewe hupati, shida.. utampiga panga mtoto.. naangalia means nzuri ya kufanya .. nyie ndio wamama unasema mtoto anataka laki , ikitumwa huyo shop unaenda jipendelea
 
Uongoo
Hiyo ni uongooo

Tunajirarijigi tu
Unakuta unamtext anakujibu
Haimaanishi anakukumbuka 🀣🀣🀣
Eti eehh!! sawasawa!! nilikua sijui!!

Sasa mtu anasema alikuacha si aachane nawewe mazima Kwanini anakusumbua sumbuaa ??? Mtu anaonesha kujutia kabisa ilhali ishapita miaka kibao all these years wee umekaa tyu kwa ubaya ganii?? Kuna watu ni hawajielewi!

Afu mtu yeye ndio anakusumbua anenda kugeuza kibao etu wewe ndie unamsumbuaa khaaahh ni upuuzi!
 
Hakuna haja ya kuulizaaa unajiongeza kiutu uzima bila makelele wala fujo!! Mwenyewe kama ana akili timamub nafsi itamsuta ukute Akili kama za mjomba National Anthem sasautajutraaa
Mimi nauliza kabisa ili tuwekane sawa
Asije kuja kubadili gia angani kuwa hakutukuachana.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ukisikia dua ya kuku haimpati mwee ndio hizo kwanza karma inakugomea mlikuwa mna zini wote wadhambi, bora mmeachana msiendelee kufanya dhambi.. karma inafanya kwa walio kuwa ordained na Mungu au walio na ndoa.. ila tunao okotana huku chapa ilale
Nani kakuambia walikuwa wanazini?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna haja ya kuulizaaa unajiongeza kiutu uzima bila makelele wala fujo!! Mwenyewe kama ana akili timamub nafsi itamsuta ukute Akili kama za mjomba National Anthem sasa🀣🀣utajutraaa
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mambo marahisi haya huitaji tumia energy , ukiwekeza uwekezaji hakuna mwanaume atakupiga chini , hivyo hivyo mwanaume akiwekeza kwe ke hawezi piga chini kirahisi.. sasa unawezekeza maneno tu na mda kuna mwingine anawekeza ufundi, hela, mapenzi na time mnafikiri mtu atabaki salama hapo ? mapenzi ni sadaka uzito wa sadaka yako utaamua unaachwa au huachiki
 
mambo marahisi haya huitaji tumia energy , ukiwekeza uwekezaji hakuna mwanaume atakupiga chini , hivyo hivyo mwanaume akiwekeza kwe ke hawezi piga chini kirahisi.. sasa unawezekeza maneno tu na mda kuna mwingine anawekeza ufundi, hela, mapenzi na time mnafikiri mtu atabaki salama hapo ? mapenzi ni sadaka uzito wa sadaka yako utaamua unaachwa au huachiki
Ufundi ni nini?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mambo marahisi haya huitaji tumia energy , ukiwekeza uwekezaji hakuna mwanaume atakupiga chini , hivyo hivyo mwanaume akiwekeza kwe ke hawezi piga chini kirahisi.. sasa unawezekeza maneno tu na mda kuna mwingine anawekeza ufundi, hela, mapenzi na time mnafikiri mtu atabaki salama hapo ? mapenzi ni sadaka uzito wa sadaka yako utaamua unaachwa au huachiki
Agiza cappuccino hapo nakuja kulipa
 
Back
Top Bottom