Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
JidanganyeniKwanza kwanini mtu umtendee mwenzio ubaya??
Ushetani tu.
Dawa ya moto ni moto,,hatabaki salama.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😂😂
Karma do not exist
JidanganyeniKwanza kwanini mtu umtendee mwenzio ubaya??
Ushetani tu.
Dawa ya moto ni moto,,hatabaki salama.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Jidanganyeni
![]()
Karma do not exist





NyuuuuuuuuuuuuuuNyoo!
😂😂😂😂 usitushauriBila step lazima ujikwae
Karma is a bitch.... Anashangaa mtu una furaha zakooo na Amani telee nafsi inamsuta mwenyewe!Kwanza kwanini mtu umtendee mwenzio ubaya??
Ushetani tu.
Dawa ya moto ni moto,,hatabaki salama.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂 em kwendraaaaNyuuuuuuuuuuuuuu
🤣🤣 ukianza vilio usiseme sijakushauri😂😂😂😂 usitushauri
Ni suala la muda.Karma is a bitch.... Anashangaa mtu una furaha zakooo na Amani telee nafsi inamsuta mwenyewe!
Mapenzi hayaaa!! Na unaeza ona umefikaaaa kumbee ndiokwanzaaa kumekucha!!
Mapenzi shenzisana![]()
Sasa mbona mshale ushaanza kusoma 170kph🤣🤣 ukianza vilio usiseme sijakushauri
Niende wapi😂😂😂😂 em kwendraaaa
Wee acha zakoooo,Mi nazunguluka pote humu; auxillary police nimewatia mfukoni.






Pm 😂😂😂Niende wapi
🤣🤣🤣! Unampotezea tu nakuendekea na life lakoNi suala la muda.
Popote alipo lolote limkute mwaka huuhuu.
Nimebadili maombi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wewe mstaarabu sana,
Hukustahili hayo
Nimeumia.
Huyo shetani popote alipo cha moto atakiona,
Ni suala la muda tu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Huyo boya katili aliyekuumiza hivi majuzi naona amekuachia majeraha mabaya sana moyoni mjukuu. Please usimruhusu akufanye uchukie wanaume wote. Huo ni mzigo mzito sana kuubeba jamani. Wewe mwachilie kabisa kabisa na japo anaweza kuwa anajiona kuwa ni mjanja kwa sasa, Karma atakutana nayo tu huko mbele ya safari ama kwake mwenyewe au kwa uzao wake! Kama kakuacha na kwenda kuoa mwingine yaani atachapiwa huko aletewe na magonjwa mpaka atakukumbuka wallahi!
Japo mambo yamebadilika sana lakini wanaume wenye utu, upendo na ubinadamu bado wapo mjukuu. Just know how to attract/find them and always keep your intentions pure.
Hebu moyo wako huo uliojeruhiwa na ukapone na asubuhi njema yenye mapenzi ya kweli, matumaini, amani na furaha ikakupambazukie mjukuu![]()







babuuuu wee km bibi mama E unampenda hvyo ni wee, hawa wengine ni chapaaa ilaleeeee. Hahahaa relaxSasa mbona mshale ushaanza kusoma 170kph
Sina wa kuchat nae 😂Pm 😂😂😂
Tinsley ampotezee tu ila mimi nasimama kumuombea Tinsley! Unampotezea tu nakuendekea na life lako

😂😂😂😂😂😂😂 nyauHahahaa relax
Kwanza shikamoo babu
Thank you jamani ,nashukuru sana kwa maneno yako ya faraja ubarikiwe zaidi na zaidi.
Nawaogopa wanaume yaani nahisi sina bahati kwa mambo hayo ,atakuja mwingine anidanganye na kuniacha .
Nitajitahidi kuwa na mtazamo tofauti juu ya wanaume. Ili niweze kupenda tena .
Almost there ...






Dear hivi anaye kuumiza wee haogopi? Hajistukii? Upoleee, ukimyaa, ustaraaabu, hekima na heshima zote hizo? Mbna wee ni wa kuolewaa tena kwa ndoa jumlaaa.