Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dear hivi anaye kuumiza wee haogopi? Hajistukii? Upoleee, ukimyaa, ustaraaabu, hekima na heshima zote hizo? Mbna wee ni wa kuolewaa tena kwa ndoa jumlaaa.

Wanaume hawa jamaniiiiiii khaaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu shangaa na wewe Coca
Huyo jamaa atakuwa na undugu ya Shetani,si ajabu ni Ankoli wa mapembe.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ njoo nikupe Nanii uchat nae
Nimeona sms yake hapa, naongea na simu nikimaliza namjibu

Ila ni mchokozi sana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 

Wala usijione mjinga na Wala usijihukumu.
Kutokujua siyo kosa lako.

Ni yeye tu ameamua kufanya ushenzi wa kishenzi.

Ilikuwaje mkaachana?
Ulimkosea?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

Ni ile unampenda MTU ila yeye hana habari
Hakuna kosa nililofanya
Najionaga sijui kuangalia mtu nawazo yake .. Naamini watu easy kweli hapo ndo nafeli
 
Marahabaaa!

That's what I wanted to hear...

You know. Negativity in one area can unknowingly engulf every facet of your life and before you know it, you become this bitter, grumpy, narcissistic, angry, introverted and unapproachable person. You are too young to let this happen to you.

Sometimes God lets "bad" things happen to good and innocent people like you because He wants them to learn a lesson so that they can be stronger in the next phases of their lives. The Bible is full of examples of people who were destined for greater things but went through hell to get there. With our myopic and selfish points of view, we humans sometimes miss the lessons intended.

Learn the lesson(s) intended and leave the negativity mjukuu. Stay positive. Pray hard and consistently. Forgive. Be pure in your intentions and you will eventually end up being entangled by the man of your dreams.....and more!

You will be OK
Ko sisi wa la 7D ndo umeamua yasituhusu? Dhambi hizi lakin.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wow,powerful words
Thank you , I really needed to hear this.

Mwaka huu nashukuru unaisha tu jamani maana haukuwa rahisi but I'm super grateful naumaliza nikiwa strong .

Umeongea kitu cha muhimu sana mapito yanatufundisha katika next phase ya maisha .
I used to be naive and stupid lakini sasa I've learnt my lesson .

Looking forward to the future
Ya kale yamepita .
Nakusisitiza tena, wanaume baba yao ni 1. Kuwa makini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh aiseee kuna watu ni mashetani.
Na upole wako wote huo mtu anakuumiza??

MUNGU atakupa mwingine mama, ila kaa kwa kutulia.
Safari hii usijihangaike Kwa lolote,, Mungu mwenyewe atamleta..
Nakuombea sana.


Huyo aliyekutenda lolote limpate huyo mbwa

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ongezaaaa sautiiii puliiiiiiiizzzzzzz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dear hivi anaye kuumiza wee haogopi? Hajistukii? Upoleee, ukimyaa, ustaraaabu, hekima na heshima zote hizo? Mbna wee ni wa kuolewaa tena kwa ndoa jumlaaa.

Wanaume hawa jamaniiiiiii khaaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahhaahhhh
Mweh mnanijaza jamani hivyo vyote nimevitolea wapi hahahaaa

wanaume ndo wanapenda kuutumiza sie wapole
 
Back
Top Bottom