Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sema Mimi mwenyewe zoba nilishindwa vipi kujua mtu shoti kihivyo .
🤣🤣🤣🤣Kuna visavisa fulani hivi vikianza unajua kabisaaa this is red alert....😁😁😁!! Unajiandaa kwa lolote😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi sana Dogo


Malipo ni hapahapa duniani.
Ila ili yafanye kazi,lazima usijichoshe Kwa namna yoyote ile kulipa.
Mwachie Mungu alipe.

Yaani kama alimuumiza mtoto wa watu bila sababu aisee atalipwa tu.
Mungu ni wa haki.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Weee tuendelee kujifariji 😂
 
Mimi pia nilikuwa mjinga sikuona redflag yaani
Kanuni ya mapenzi huijui dear? Mguu m1 ndani mguu m1 nje.
Hata ukiingia miguu yote, ukikumbuka kuwa hukuzaliwa nae, bas mguu m1 ni njee lazimaaa yaan. Ulikwamaaa wapiii dear??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom