Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Amen ila wanaume hawa lol
Inabidi kwenda nao kwa step .
Huyo boya katili aliyekuumiza hivi majuzi naona amekuachia majeraha mabaya sana moyoni mjukuu. Please usimruhusu akufanye uchukie wanaume wote. Huo ni mzigo mzito sana kuubeba jamani. Wewe mwachilie kabisa kabisa na japo anaweza kuwa anajiona kuwa ni mjanja kwa sasa, Karma atakutana nayo tu huko mbele ya safari ama kwake mwenyewe au kwa uzao wake! Kama kakuacha na kwenda kuoa mwingine yaani atachapiwa huko aletewe na magonjwa mpaka atakukumbuka wallahi!

Japo mambo yamebadilika sana lakini wanaume wenye utu, upendo na ubinadamu bado wapo mjukuu. Just know how to attract/find them and always keep your intentions pure.

Hebu moyo wako huo uliojeruhiwa na ukapone na asubuhi njema yenye mapenzi ya kweli, matumaini, amani na furaha ikakupambazukie mjukuu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Screenshot_20221216_122724.jpg
 
Kwanza shikamoo babu

Thank you jamani ,nashukuru sana kwa maneno yako ya faraja ubarikiwe zaidi na zaidi.

Nawaogopa wanaume yaani nahisi sina bahati kwa mambo hayo ,atakuja mwingine anidanganye na kuniacha .

Nitajitahidi kuwa na mtazamo tofauti juu ya wanaume. Ili niweze kupenda tena .

Almost there ...
 
Pole mamy inaonesha umejeruhiwa sana mpaka umejenga negativity fulani hivi! Mungu aponye jeraha la moyo wako kipenzi!!
 
Back
Top Bottom