Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20221216_134720.jpg

Mzee wa kupambania
 
Kanuni ya mapenzi huijui dear? Mguu m1 ndani mguu m1 nje.
Hata ukiingia miguu yote, ukikumbuka kuwa hukuzaliwa nae, bas mguu m1 ni njee lazimaaa yaan. Ulikwamaaa wapiii dear??

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifeli aisee nilidumbukia miguu yote sema mimi siwezi danganya ndo manaa ... Sijui ilikuwaje nikawa na karoho hiki .
 
Asante kwa kukaziaaa mjombaa😎!!
😅😅😅 mtu hamjazaliwa pamoja, mmekutana ukubwani huko mna age ya utu uzima, mtu hujui background yake, hujui walio wekeza kwake.. leo unataka ufe nae ..hapo hata karma inakugomea tu.. kama mmekua toka utotoni kama mapenzi ya kikorea hapo sawa, ila mmekutana mna miaka ya ukubwani hamjadumu hata miezi misaba unaliaaa.. ujue kuna something wrong .. Pole kwa wanao umia kwakweli
 
Depal ndio anatabia ya kulia
Em kuja usome ujumbe wako huku 🤣🤣
 
Back
Top Bottom