Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
HayaaUsiweke kwanzaaa nibust kimeo changu jamani!
Ukirudi nistue
HayaaUsiweke kwanzaaa nibust kimeo changu jamani!
Asante kipenzi ,nipo kwa kutuliaPole mamy inaonesha umejeruhiwa sana mpaka umejenga negativity fulani hivi! Mungu aponye jeraha la moyo wako kipenzi!!
Huyu mchonganishi tu achana naye hana lolotewee Wigee una nn lakini? Wepi hao nnao wapangaaa mie? Niko na only 1 Mjep .
B'day angu kesho bhanaaaaa, uwiiiiiiiiiih.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kuwapanga
Mjep mwenye macho haambiwi
Ana besidei kila mwezi huyu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mungu akutie nguvu.Asante kipenzi ,nipo kwa kutulia
Nimenawa mikono kabisaa .
Nishafungua moyo sooon japo hofu jamaani lol .
Biriani tunaenda kuilia wapi?
Everything Gonna be ok dear enjoy to the fullest 😘😘😘! Maisha Ndio hayahayaa mamyAsante kipenzi ,nipo kwa kutulia
Nimenawa mikono kabisaa .
Nishafungua moyo sooon japo hofu jamaani lol .
Kwa sele bonge😂Biriani tunaenda kuilia wapi?
Thank you Dada mzuriMungu akutie nguvu.
Marahabaaa!Kwanza shikamoo babu
Thank you jamani ,nashukuru sana kwa maneno yako ya faraja ubarikiwe zaidi na zaidi.
Nawaogopa wanaume yaani nahisi sina bahati kwa mambo hayo ,atakuja mwingine anidanganye na kuniacha .
Nitajitahidi kuwa na mtazamo tofauti juu ya wanaume. Ili niweze kupenda tena .
Almost there ...
Everything Gonna be ok dear enjoy to the fullest 😘😘😘! Maisha Ndio hayahayaa mamy
Marahabaaa!
That's what I wanted to hear...
You know. Negativity in one area can unknowingly engulf every facet of your life and before you know it, you become this bitter, grumpy, narcissistic, angry and unapproachable person. You are too young to let this happen to you.
Sometimes God lets "bad" things happen to good and innocent people like you because He wants them to learn a lesson so that they can be stronger in the next phases of their lives. The Bible is full of examples of people who were destined for greater things but went through hell to get there. With our myopic and selfish points of view, we humans sometimes miss the lessons intended.
Learn the lesson(s) intended and leave the negativity mjukuu. Stay positive. Pray hard and consistently. Forgive. Be pure in your intentions and you will eventually end up being entangled by the man of your dreams.
You will be OK 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Duh aiseee kuna watu ni mashetani.Kwanza shikamoo babu
Thank you jamani ,nashukuru sana kwa maneno yako ya faraja ubarikiwe zaidi na zaidi.
Nawaogopa wanaume yaani nahisi sina bahati kwa mambo hayo ,atakuja mwingine anidanganye na kuniacha .
Nitajitahidi kuwa na mtazamo tofauti juu ya wanaume. Ili niweze kupenda tena .
Almost there ...

Duh aiseee kuna watu ni mashetani.
Na upole wako wote huo mtu anakuumiza??
MUNGU atakupa mwingine mama, ila kaa kwa kutulia.
Safari hii usijihangaike Kwa lolote,, Mungu mwenyewe atamleta..
Nakuombea sana.
Huyo aliyekutenda lolote limpate huyo mbwa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wewe mstaarabu sana,Hahha nimecheka kwa sauti
Thank you Anne jmani
Mie sie cha upole kihivyo , ni mtundu kidogo.
Asante sana lovely sis

Mungu ni mwema sikuzote.. unamtendea ubaya Mtoto wawatu anakaa na maumivu na jeraha huku wewe unajiona mjanja bila kujua malipo ni hapahapa atalipa kwa Namna yoyote ile!Duh aiseee kuna watu ni mashetani.
Na upole wako wote huo mtu anakuumiza??
MUNGU atakupa mwingine mama, ila kaa kwa kutulia.
Safari hii usijihangaike Kwa lolote,, Mungu mwenyewe atamleta..
Nakuombea sana.
Huyo aliyekutenda lolote limpate huyo mbwa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kwanza kwanini mtu umtendee mwenzio ubaya??Mungu ni mwema sikuzote.. unamtendea ubaya Mtoto wawatu anakaa na maumivu na jeraha huku wewe unajiona mjanja bila kujua malipo ni hapahapa atalipa kwa Namna yoyote ile!
😂😂😂Kwanza shikamoo babu
Thank you jamani ,nashukuru sana kwa maneno yako ya faraja ubarikiwe zaidi na zaidi.
Nawaogopa wanaume yaani nahisi sina bahati kwa mambo hayo ,atakuja mwingine anidanganye na kuniacha .
Nitajitahidi kuwa na mtazamo tofauti juu ya wanaume. Ili niweze kupenda tena .
Almost there ...
Nyoo!Anaturingishia sio 🤣🤣
Me saivi nipo single, nipo kwenye maombi japo mwaka usiishe nikiwa alone.