Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Amen ila wanaume hawa lolAnaturingishia sio 🤣🤣
Me saivi nipo single, nipo kwenye maombi japo mwaka usiishe nikiwa alone.
Inabidi kwenda nao kwa step .
Amen ila wanaume hawa lolAnaturingishia sio 🤣🤣
Me saivi nipo single, nipo kwenye maombi japo mwaka usiishe nikiwa alone.
Mumuacheeeee babeeee wanguuuuu,Asiweke Kwani sh ngapi banaaa!!mtrajijuuuu







Eagerly await kwahamuuuu mamaaa coca ndane ya sheraaaaa official Mrs mjep huyooooo Weraaaaweraaaah!!








tena mkaee kwa password tyuuh. Kaa kwa kutuliaAmen ila wanaume hawa lol
Inabidi kwenda nao kwa step .
Tena step na umakinii mkubwaa!!Amen ila wanaume hawa lol
Inabidi kwenda nao kwa step .
Bila step lazima ujikwaeAmen ila wanaume hawa lol
Inabidi kwenda nao kwa step .
Unajua kuwapangaacha wivuuuu naweee, vipi makoloni yakooo hayakupagi sifaa, au hawajui kujibebishaaa? Hawajui mahabaaa? Hawakufundwaaaaa??
Uwiiiiiiih
Sent using Jamii Forums mobile app
wooozzzahhhhhhhhhh 💃💃💃!
Nakudondokea pua!!Bila step lazima ujikwae
Ndiooo ndiiioooooooooooo!! Tumekomaaa kama tukivokomaa kwenye Titiiiiii 😁hata nisipo msifiaaa ni jukumu lake anajuaa mbonaaaaaa, uzuri hana longo longo Babeeee angu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuja kushtuka kumekuchaBila step lazima ujikwae
Mie mwaka namaliza na kuanza vizuree kabesa Mungu ni mwema na Will always be!Unakuja kushtuka kumekucha
Tuombe Mungu tuanze mwaka vizuri .... Naenda ibada ya wanawake baadae , I'm excited already.
Una siasa kama Anne Wigee!!
🤣🤣🤣! Hawi alone mtyuu didi akee! Tenaaaahh 😛😛Anaturingishia sio 🤣🤣
Me saivi nipo single, nipo kwenye maombi japo mwaka usiishe nikiwa alone.
Mie mwaka namaliza na kuanza vizuree kabesa Mungu ni mwema na Will always be!
Lyalyalyalyalyalyaaaaaaaaaa😂😂ubwabwa tunaoooo🤗Mjep
Le King himself, le sweetpapiee, le coca'z heart, Le boss, le nyonga mkalia ini, only 1 aliyeweza kumtuliza cocaaa.
Kitu napendaaaa unajua kunipendaaa afu ile ya dhatiiiii.
Mtuacheeeeee!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa kipenzi.. !!Amen ,Mungu ni mwaminifu ...
Mambo yanaenda vyema tu .
😂😂😂😂😁😁😁!!Lyalyalyalyalyalyaaaaaaaaaa😂😂ubwabwa tunaoooo🤗
Maisha yamebadilka , watu wapo cold hearted ile mbayaTena step na umakinii mkubwaa!!