cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,094
Wee msarureee atakuzoea sanaa shauri yakoo, unaogopa kudharaurika kwan JF usipoheshimika unakufaaa? Acha kuogopa wee mpe makavu yakee.Ahsante Sana kaka ake..nakaa hapa[emoji847][emoji7]
Wee msarureee atakuzoea sanaa shauri yakoo, unaogopa kudharaurika kwan JF usipoheshimika unakufaaa? Acha kuogopa wee mpe makavu yakee.Ahsante Sana kaka ake..nakaa hapa[emoji847][emoji7]
Shindwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]A girl from Tandale
Mtoto mzuri toa hizo emoji...
Leo napita naked tu[emoji16]Naked Kweri kweri [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji91][emoji91]
Subiri hapohapo nitoeMtoto mzuri toa hizo emoji...
Waaaaaah cocaaaah[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Wee msarureee atakuzoea sanaa shauri yakoo, unaogopa kudharaurika kwan JF usipoheshimika unakufaaa? Acha kuogopa wee mpe makavu yakee.
Ileje hakuna waswahiliShindwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora niije gelo from ileje,nilikotokea
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mda wa kuremba nnao sasa? Yann nianzee kuumia na kijiba cha nafsi? Tumalizane kila mtu ashike 40 zakee.Ukisikia mbuzi kafia kwa muuza supu ndo hii sasa ya mm kuitwa kutoa ushauri juu ya kumwaga umbea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nampenda Yesu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hutaki Mbambamba shouzz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mda wa kuremba nnao sasa? Yann nianzee kuumia na kijiba cha nafsi? Tumalizane kila mtu ashike 40 zakee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli, siku akibaki pekee yake road ya home, sijui ntaweka wapi nafsi yangu.Najua hilo kuwa msigwa haumpendi[emoji3]
Lkn ndiyo mwamba wa huku[emoji16]
Haya sawa mtoto mzuri, siku njema, ukipost nitapata notification
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mabena wana maana kwan? Tena ukikopa sasa ndo umeingia nuksi hupati hela, na lazima ushindwe wanakuja kusomba vitu vyoteee.Habari ndiyo hiyo lazima apite njia moja na msigwa kindezi hutoboi,
Nyie endeleeni kukopa tu mnamfanyia biashara yeye,
Na wakali balaa ukizingua kwenye marejesho ukichelewa tu lisaa wanakufuata kusanya vitu piga mnada.
Sitaquote mtuHaya sawa mtoto mzuri, siku njema, ukipost nitapata notification
Eendiwoooooooo!!Mmmmh sema kweli?
Suka mtindo ambao hata mkurugenzi akikuona anakupa promo ya u headmistress, wee zubaaga hivyo hivyoo.
Unaumwaaa???View attachment 2437740
Does your worry help?
Kinafaa kabisaaa, mama swaumu atakomaa mbnaaa.
🤣😁😁😁💃💃Suka mtindo ambao hata mkurugenzi akikuona anakupa promo ya u headmistress, wee zubaaga hivyo hivyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwacheeeeeeeeee puliiiiiiiiiiiz!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Coca huyoooo[emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app