Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Nimeachana nae..ila hata sikutaka kugombana nae walaa huo muda sinaga.Achana naye,mambo ya kugombana yamepitwa na wakati.
Dawa ya mtu mwenye makwazo ni kuachana naye,ukiweza mlime block.
Baadaye akiona anakukwaza na haujali basi atajiona mjinga.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ahsante Sana mdogo wangu






