Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

253283932.jpg
 
Wapendwa naombeni mbwinu ya kumtapikia mtu nyongo humu jf pasipo kumkwaza ...maana ni mtu ninaemuheshimu ila amenikwaza kufikia maximum..friji langu limegoma kabisa kugandisha nimejitahidi kukausha na upole wangu lakini wapiiii...embu nipeni vi-tips uvumilivu umefika mwisho.... Ahsanteni
Kama nyote ni watu wazima na wenye busara, nendeni mkayamalize huko huko mlikokwaziana. Kama ni PM iwe ni PM. Kama ni mubashara basi iwe mubashara. JF hapa uwanjani ni kunufaisha wambea tu na wapenda drama....na hakuna faida yo yote mtapata mbali na kujidharaulisha tu!
 
Wapendwa naombeni mbwinu ya kumtapikia mtu nyongo humu jf pasipo kumkwaza 😂😂...maana ni mtu ninaemuheshimu ila amenikwaza kufikia maximum..friji langu limegoma kabisa kugandisha nimejitahidi kukausha na upole wangu lakini wapiiii...embu nipeni vi-tips uvumilivu umefika mwisho.... Ahsanteni
Mnagombania mabwana au 😂😂😂😂
 
Kama nyote ni watu wazima na wenye busara, nendeni mkayamalize huko huko mlikokwaziana. Kama ni PM iwe ni PM. Kama ni mubashara basi iwe mubashara. JF hapa uwanjani ni kunufaisha wambea tu na wapenda drama....na hakuna faida yo yote mtapata mbali na kujidharaulisha tu!
Ahsante Sana kaka ake..nakaa hapa🤗😍
 
Back
Top Bottom