Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,842
- 57,486
Ukinikosa Ziwani utanikuta hapa napiga debe 🤪25/12 Moshi
30/12 Simiyu
Tutaonana huko bundesliga 01/01
Ukinikosa Ziwani utanikuta hapa napiga debe 🤪25/12 Moshi
30/12 Simiyu
Tutaonana huko bundesliga 01/01
Walaii Umekuaaa !!Ukisikia mbuzi kafia kwa muuza supu ndo hii sasa ya mm kuitwa kutoa ushauri juu ya kumwaga umbea![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ila nampenda Yesu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Unyamaaa.......ka location kametulia sana
Nyamhongolo hilo jina sasa!!!!Ukinikosa Ziwani utanikuta hapa napiga debe 🤪
View attachment 2437445
Samaleko boss lady!🤣Wa vipajiiiiiiiiiiiii
Samalekooo✋✋✋
Tangu nimeijua tufe ya block yaani sina baya na mtu kabisa.Walaii Umekuaaa !!
Big up kwakooo👏👏👏👏👏!
Dawa ni kumpotezea tuu!!
Kamera tu mkuu!! Mie sipo hivyo!Samaleko boss lady!🤣
Kazi nzuri ya muumba ile..
Amen amen! Barikiwa kwahilo!Tangu nimeijua tufe ya block yaani sina baya na mtu kabisa.
Ni kulima tu block,nimeyajaza huko yapambane na block.
Kama ni shetani basi atafute njia nyingine ya kuniteka,ila si ya kugombana na watu kijinga.
Ipo Mwanza hii, barabara ya Musoma.Nyamhongolo hilo jina sasa!!!!
Hii stendi ipo Wapiii babuu ?? Ni nzuri sana
Saint Anne hawa wasusi maelezo yao hata siwaelewiiii

Wigelekelo Shimba ya Buyenze nini maana ya Nyamhongolo?Ipo Mwanza hii, barabara ya Musoma.
Ngoja aje Msukuma Mmoja atoe maana ya hilo neno Nyamhongolo
Ngoja nisuke kwanza nione!!
Karibu sana SIMIYU
Bundesliga hii ya nyasaka mkuu?25/12 Moshi
30/12 Simiyu
Tutaonana huko bundesliga 01/01
Sisi tunasubiri tu kapichaNgoja nisuke kwanza nione!!