Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,261
Shangazi wa kisasa, Kiingereza kama chote anakitema[emoji16] Shangazi wa bushiiiii!
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Shangazi wa kisasa, Kiingereza kama chote anakitema[emoji16] Shangazi wa bushiiiii!
Sanchworld!😁 Shangazi wa bushiiiii!
Ngoja aje National Anthem akupe mwongozo 🤣🤣🤣Aiseeee .....ngoja niweke kambi humu nifanye mawindo
Nani kakufundisha uswahili wewe..Kama hujawahi ona mapicha yangu yote ninayoweka basi utakuwa na kengeza [emoji38]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Eti kijana[emoji3061]Kuwa na adabu ww kijana [emoji34][emoji34][emoji34]
Alishaona.Saint Anne Antonnia hajaona...
Nipo uswahilini mbona kitambo sana.Nani kakufundisha uswahili wewe..
Haupendezi wala kuendana na uswahili, waachie wenyewe...Nipo uswahilini mbona kitambo sana.
Lazima nijue
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Dah[emoji1787]Haupendezi wala kuendana na uswahili, waachie wenyewe...
Ni sawa, hata ID yako yenyewe inasema "saint" hebu itendee haki vinginevyo ipe ID yako jina la kiswahili...
NitabadiliNi sawa, hata ID yako yenyewe inasema "saint" hebu itendee haki vinginevyo ipe ID yako jina la kiswahili...
Naomba nipendekeze jina
Mmmmh sema kweli?Hapana dadaa kazidi!
A girl from Tandale
Naked Kweri kweri 😘😘😘😘😘🔥🔥